kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Bar gani mkuu?Stop Ova
Mama anachemka,anakosa kodi kizembeSijui mama anatupelekea wapi!!
Hii nchi imeshamshinda iko wazi maji ya litre 13 ya uhai hayapo, sehemu nyingine soda hamna, na kila mtu anajipandishia bei duka hili wanauza bei hii duka la jirani Wana bei yaoSijui mama anatupelekea wapi!!
Sasa hebu tufahamisheni Sisi maamuma, mama anahusika vipi na nyie kukosa bia,soda,maji? Kavifungia viwandaHii nchi imeshamshinda iko wazi maji ya litre 13 ya uhai hayapo, sehemu nyingine soda hamna, na kila mtu anajipandishia bei duka hili wanauza bei hii duka la jirani Wana bei yao
Sio hivyo kupanda kwa mafuta ya kula, sabuni zimepanda bei, vifaa vya ujenzi havishikiki alafu mim sijaongelea majiSasa hebu tufahamisheni Sisi maamuma, mama anahusika vipi na nyie kukosa bia,soda,maji? Kavifungia viwanda
Ha ha ha watoto wa siku hizi mna tabu sana. Huwezi kumjibu mtu bila kashfa.Sio hivyo kupanda kwa mafuta ya kula, sabuni zimepanda bei, vifaa vya ujenzi havishikiki alafu mim sijaongelea maji
Ila huwezijua siunakaa kwa baba
Huwezi jua siunakaa kwa babaHa ha ha watoto wa siku hizi mna tabu sana. Huwezi kumjibu mtu bila kashfa.
Nlikuwa nimekwishalala kusoma hii thread kumenifanya ninyanyuke nikashushie bia moja bariiidiWakuu
Ni wiki ya pili sasa kila nikitaka kupiga serengeti larger kwenye bar nyingi za Kimara na Mbezi Luisi naambiwa hamna.
Wahusika jitafakarini.
Nipo kwa shemeji sio kwa babaHuwezi jua siunakaa kwa baba
Beer zikipotea mshukuru Mungu kwa kukuepusha na lile ziwa la motoWakuu
Ni wiki ya pili sasa kila nikitaka kupiga serengeti larger kwenye bar nyingi za Kimara na Mbezi Luisi naambiwa hamna.
Wahusika jitafakarini.
Nchi ya kibepari ndivyo inapaswa kuwa?Hii nchi imeshamshinda iko wazi maji ya litre 13 ya uhai hayapo, sehemu nyingine soda hamna, na kila mtu anajipandishia bei duka hili wanauza bei hii duka la jirani Wana bei yao