Kuna uhaba mkubwa sana wa Serengeti lager maeneo ya Kimara na Mbezi Luis

Kimsingi ni nchi nzima, hii Beer imeadimika sana.
Wazalishaji wamehamishia attention kwenye Serengeti lite na kuisahau Serengeti Lager.
Wanawake wanywaji wengi wao wanakunywa Lite na kwa kiasi kikubwa hivyo kuadimika kwa Lager ni matokeo ya kanuni ya Demand & Supply.
Unakosea unapoandika kuhusu nchi nzima ilihali hauishi nchi nzima unaishi kaeneo kadogo tu katika hii nchi.

Bia zipo tena za kumwaga hizo lager ni kama uchafu zimeadimika mahala uliko tu hii ni sawa kabisa na issue ya soda kuwa kuna uhaba wake lakini nikiangalia mahala nilipo zipo kiiiibao (Dodoma)
 
Kumbe unafahamu kuwa naishi kaeneo kadogo tu katika hii nchi?
 
Back
Top Bottom