Kimsingi ni nchi nzima, hii Beer imeadimika sana.
Wazalishaji wamehamishia attention kwenye Serengeti lite na kuisahau Serengeti Lager.
Wanawake wanywaji wengi wao wanakunywa Lite na kwa kiasi kikubwa hivyo kuadimika kwa Lager ni matokeo ya kanuni ya Demand & Supply.