Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Ni vigumu kuamini Nchimbi mwenye miaka 54 amestafuu siasa na utumishi wa umma ikiwa hatajitokeza hadharani mwenyewe kusema au kuthibitisha amestaafu siasa kwa hiyari yake.
Kujiuzulu nafasi ya umakamu inawezekana lakini kustaafu kabisa siasa haiingii akilini. Anstaafu siasa na utumishi wa umma kwa sababu gani hasa akiwa katika umri mdogo hivyo?!
Vipi ikiwa siku moja tukashuhudia anajitokeza hadharani mwenyewe kusema akaunti zake za mitandao zilidukuliwa kwa nguvu watu wakasambaza barua waliyoandika wenyewe ambayo yeye hakuhusika kabisa ? Hii haitakuwa sawa na uhaini?