Kuna uhakika kiasi gani kwamba ni kweli Nchimbi mwenyewe amejiuzulu siasa?

Bila Nchimbi mwenyewe kutokea hadharani na kusema ni kweli amejiuzulu umakamu, siasa na utumishi wowote wa umma kwa ridhaa yake itabaki ni fumbo la kudumu.
ngoja tuupe muda nafasi kwasasa
 
Inawezekana hata ile barua hakuandika mwenyewe.

Inawezekana ni statement iliyoandaliwa baada ya kuwekwa kizuizini wakiwa wameshikilia simu zake na kupata fursa ya ku post hiyo statement.
Mimi na amini kaandika mwenyewe kwa sababu ifuatayo .

Kwanza ni uwamuzi wa ccm kumfuta uwanachama kama hasingekua jiuzulu mapema hii ingekua aibu kubwa na fedhea kwake .

Nchimbi ni mtu mkubwa na mtu wa ndani naamini alijua kitacho enda kujadiliwa kwenye kamati ilio kaa
 
Kwa nini aseme anajiuzulu siasa na utumishi wa umma badala ya kuishia kujiuzulu umakamu tu??
 
Kuna uhakika gani ni yeye ameandika barua ya kujiuzulu umakamu, siasa na utumishi wa umma?! Hii inaweza kuthibitishwaje ikiwa aliyejiuzulu hata haonekani hadharani?!

Je, ile taarifa kwa umma kutoka jumba jeupe kwamba barua imepokelewa na ombi limekubaliwa nayo tunaitilia shaka? Hiyo kama hatuna wasiwasi nayo kwa sababu matokeo yake tumeyashuhudia, hali itakua ngumu zaidi na kuongeza machafuko iwapo jamaa atakuja kuibuka aseme hatambui hicho kinachoitwa kujiuzulu.
 
Niliwaza kitu kama hiki pia. Tujipe muda kila kitu kitakuwa wazi. Hawa magaidi waliojificha kwenye uanachama wa ccm sugu madarakani muda wao umesalia mdogo sana kuendelea na uovu nchini.
Inawezekana hata ile barua hakuandika mwenyewe.

Inawezekana ni statement iliyoandaliwa baada ya kuwekwa kizuizini wakiwa wameshikilia simu zake na kupata fursa ya ku post hiyo statement.
 
Mimi na amini kaandika mwenyewe kwa sababu ifuatayo .

Kwanza ni uwamuzi wa ccm kumfuta uwanachama kama hasingekua jiuzulu mapema hii ingekua aibu kubwa na fedhea kwake .

Nchimbi ni mtu mkubwa na mtu wa ndani naamini alijua kitacho enda kujadiliwa kwenye kamati ilio kaa
Mimi nasema alikuwa blackmailed kwasababu ya tetesi za awali zilizodai analazimishwa ku resign.

Pili whereabout yake inaongeza wasiwasi kuwa, je ile ilikuwa ni barua aliyoandika na kuichapisha kwa willing yake?

Ukichukua na maneno ya Warioba kwamba simu zake hazipatikani na kwamba anasikia tetesi za kuwekwa kizuizini, unaweza kuunga dots.
 
Ni vigumu kuamini Nchimbi mwenye miaka 54 amestafuu siasa na utumishi wa umma ikiwa hatajitokeza hadharani mwenyewe kusema au kuthibitisha amestaafu siasa kwa hiyari yake.

Kujiuzulu nafasi ya umakamu inawezekana lakini kustaafu kabisa siasa haiingii akilini. Anstaafu siasa na utumishi wa umma kwa sababu gani hasa akiwa katika umri mdogo hivyo?!

Vipi ikiwa siku moja tukashuhudia anajitokeza hadharani mwenyewe kusema akaunti zake za mitandao zilidukuliwa kwa nguvu watu wakasambaza barua waliyoandika wenyewe ambayo yeye hakuhusika kabisa ? Hii haitakuwa sawa na uhaini?
Our concern now ni uhai wake...haya mengine achana nayo...REST IN PEACE POLEPOLE, Shadrack Chaula and many others
 
Kwa sasa bado atakuwa hai, labda mashaka ni kama ataendelea kuwa hai mpaka 2030
 
Ni vigumu kuamini Nchimbi mwenye miaka 54 amestafuu siasa na utumishi wa umma ikiwa hatajitokeza hadharani mwenyewe kusema au kuthibitisha amestaafu siasa kwa hiyari yake.

Kujiuzulu nafasi ya umakamu inawezekana lakini kustaafu kabisa siasa haiingii akilini. Anstaafu siasa na utumishi wa umma kwa sababu gani hasa akiwa katika umri mdogo hivyo?!

Vipi ikiwa siku moja tukashuhudia anajitokeza hadharani mwenyewe kusema akaunti zake za mitandao zilidukuliwa kwa nguvu watu wakasambaza barua waliyoandika wenyewe ambayo yeye hakuhusika kabisa ? Hii haitakuwa sawa na uhaini?
Warioba amesema alimpigia Nchimbi simu na kumuuliza ukweli wa taarifa za kujiuzulu
Akasema ni kweli , however baada ya hapo hakupokea tena simu
So inawezekana ni kweli au alikuwa kwenye shinikizo lakina JK na timu yake
Au inawezekana kaona ni upuuzi kuvumilia yanayoendelea
 
Ahahahah...Hivi kumbe mi sio kijana tena , yani nchimbi kumbe kanizidi kama 17 years tu. Si mingi sana hata 😂😂😂😂.
Maana hata mwanangu mimi wa kwanza nimemzidi 20+ years
 
Back
Top Bottom