Ingekua halali hata kwenye uapisho angekuwepoInawezekana hata ile barua hakuandika mwenyewe.
Inawezekana ni statement iliyoandaliwa baada ya kuwekwa kizuizini wakiwa wameshikilia simu zake na kupata fursa ya ku post hiyo statement.
Kaka pascal π mwenyewe anaogopa unaweza pewa uhaini who knowWengine waliojiuzulu au kuachia ngazi tuliwaona na kuwasikia.
Huyu hajasikila, hajaonekana hadharani!
Pascal Mayalla fanya umtafute umuweke kwenye kitimoto tujue a b c d zake.
True,Itakuwa aliwekewa bomba kwenye meza .. chezea Ufalme
Mamlaka ya Rais hii nchi ni ya kuogopwa kama kimeta.. pate itakuwa simu moja tu walinzi wakakaaa pembeni mengine yakafata hakuna kuleta fyoko fyokoTrue,
Umenikumbusha picha la JUMONG
Tena mbaya zaidi kwa UNAO waamini unageukwa kama picha la A MAN CALLED GOD.Mamlaka ya Rais hii nchi ni ya kuogopwa kama kimeta.. pate itakuwa simu moja tu walinzi wakakaaa pembeni mengine yakafata hakuna kuleta fyoko fyoko
Hilo la kufukuzwa uanachama hata baada ya kujiuzulu na kutumika kama kigezo cha kuweka makamu mwingine mpya ndilo linatia shaka zaidi kujiuzulu kwake.Angejiuzulu kwa wema na kwa matakwa yake, si tungemuona leo! Na kwa nini amefukuzwa uanachama?
Ndio ivyo, kutoka kwenye msafara wa E2 paka hajulikani alipo π¬Tena mbaya zaidi kwa UNAO waamini unageukwa kama picha la A MAN CALLED GOD.
Sasa mwingine ndio maana anageuka chawa.Ndio ivyo, kutoka kwenye msafara wa E2 paka hajulikani alipo π¬
Hilo la kufukuzwa uanachama hata baada ya kujiuzulu na kutumika kama kigezo cha kuweka makamu mwingine mpya ndilo linatia shaka zaidi kujiuzulu kwake.
π π π angekula nae kinafiki tu huku anatazama saaa, nchi hii Rais sio mtu wa kumjaribu au kushindana nae utajikuta unaumia na hauna cha kumfanyaSasa mwingine ndio maana anageuka chawa.
Mimi ninge kua yeye ningeishi kwa uchawa nikawa nafanya timing.. CHATU ALUDI KINYUME NYUME KWENYE SHIMO LAKE
Kuna uhakika gani ni yeye ameandika barua ya kujiuzulu umakamu, siasa na utumishi wa umma?! Hii inaweza kuthibitishwaje ikiwa aliyejiuzulu hata haonekani hadharani?!Shida hatujui barua ya kujiuzulu ilikua na mambo gani ndani yake ambayo ikulu ilithibitisha kuipokea. Sie tulichokishuhudia ni taarifa kwa umma.
Lakini ikumbukwe tayari kulikua na kikao cha wenye chama, naons jamaa akaona isiwe shida, akawawahi.