Mimba ikitungwa mwili huanza kutoa hormone iitwa LTH kwenye damu ambayo baadae hutolewa kama mkojo na ndo mana hupima mkojo ukiwa na hio hormone bas tayariiiiiiiHabari zenu wakuu!
Niende kwenye mada. Naomba kujua uhusiano uliopo Kati ya mkojo na mimba. Nikiwa namaanisha kwamba, mwanamke anapohisi ana mimba basi akienda kupima ili kuthibitisha hisia zake, Daktari humpima mkojo na kubaini kama ana mimba au la.
Sasa naomba kufahamishwa kuna uhusiano gani kati ya mkojo na mimba ilihali njia ya mkojo ni tofauti na ile ya uzazi.
Natanguliza shukrani.
Mimba ikitungwa mwili huanza kutoa hormone iitwa LTH kwenye damu ambayo baadae hutolewa kama mkojo na ndo mana hupima mkojo ukiwa na hio hormone bas tayariiiiiii
Ila ka hauna ujue n fresh tu hakuna mimba
Sent using Jamii Forums mobile app
umejibu kidaktari mkuu safi sana na mara nyingi huanza kuzalishwa week 2 baada ya kijusi kutungwa....Kuna kitu kinaitwa hcg(human chorionic gonadotropin hormone)ambayo inazalishwa na placenta(kondo la nyuma)kipindi cha ujauzito,hormone hiyo yaweza patikana kwenye damu ama mkojo(kama taka mwili)
Mimba ni ugonjwa?ugua vyote lakini si [HASHTAG]#mimba[/HASHTAG]
mkuu maelezo yako ni sahihi but sio hiyo hormone ya lutenizing hormon but ni Gonatrophine hormone ndio huwa inapatikana kwenye mkoja ndio huwaga relised kwenye damu then kwenye mzunguko wa damu ambako huenda kuchujwa kwenye kibofu cha mkoja na kutolewa kama taka mwil na hii hormone huwa inatokea baada ya yai kurutubishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106][emoji106]Shukrani sana
Mm naona kwa 7bu inapoingilia mimba ni maeneo hayo hayo unapotokea mkojo kwahiyo kuna kauhusiano hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa baadhi mimba si ugonjwa wanadunda miezi yote tisa bila tatizo lolote lile na mzigo wanapiga mtindo mmoja.