Kuna uhusiano gani kati ya mkojo na mimba?

Kuna uhusiano gani kati ya mkojo na mimba?

Tzabway

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
262
Reaction score
170
Habari zenu wakuu!

Niende kwenye mada naomba kujua uhusiano uliopo Kati ya mkojo na mimba nikiwa namaanisha kwamba, mwanamke anapohisi ana mimba basi akienda kupima ili kuthibitisha hisia zake, Daktari humpima mkojo na kubaini kama ana mimba au la.

Sasa naomba kufahamishwa kuna uhusiano gani kati ya mkojo na mimba ilihali njia ya mkojo ni tofauti na ile ya uzazi.

Natanguliza shukrani.
 
Habari zenu wakuu!

Niende kwenye mada. Naomba kujua uhusiano uliopo Kati ya mkojo na mimba. Nikiwa namaanisha kwamba, mwanamke anapohisi ana mimba basi akienda kupima ili kuthibitisha hisia zake, Daktari humpima mkojo na kubaini kama ana mimba au la.
Sasa naomba kufahamishwa kuna uhusiano gani kati ya mkojo na mimba ilihali njia ya mkojo ni tofauti na ile ya uzazi.

Natanguliza shukrani.
Mimba ikitungwa mwili huanza kutoa hormone iitwa LTH kwenye damu ambayo baadae hutolewa kama mkojo na ndo mana hupima mkojo ukiwa na hio hormone bas tayariiiiiii

Ila ka hauna ujue n fresh tu hakuna mimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu maelezo yako ni sahihi but sio hiyo hormone ya lutenizing hormon but ni Gonatrophine hormone ndio huwa inapatikana kwenye mkoja ndio huwaga relised kwenye damu then kwenye mzunguko wa damu ambako huenda kuchujwa kwenye kibofu cha mkoja na kutolewa kama taka mwil na hii hormone huwa inatokea baada ya yai kurutubishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu kinaitwa hcg(human chorionic gonadotropin hormone)ambayo inazalishwa na placenta(kondo la nyuma)kipindi cha ujauzito,hormone hiyo yaweza patikana kwenye damu ama mkojo(kama taka mwili)

Shukrani sana
 
mkuu maelezo yako ni sahihi but sio hiyo hormone ya lutenizing hormon but ni Gonatrophine hormone ndio huwa inapatikana kwenye mkoja ndio huwaga relised kwenye damu then kwenye mzunguko wa damu ambako huenda kuchujwa kwenye kibofu cha mkoja na kutolewa kama taka mwil na hii hormone huwa inatokea baada ya yai kurutubishwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Shukrani Kwa somo. Hii kitu ilikuwa inaniumiza sana kichwa.
 
Back
Top Bottom