Kuna uhusiano gani kati ya vazi la DERA(ke) na jezi(me) na Uswazi?

trplmike

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
701
Reaction score
777
Nilikuwa naapita mitaaa ya uzwazi ya hapa Jijini.. Manzese na Magomeni. Ukikutana na wanawake 10.. lazima tisa wamevaa vazi la dera.. Ukikutana na vijana 10 lazima 9 wamezaa tshirt za timu(simba,yanga, madrid,Arsenal, Manchester etc)
Bado najiuliza kuna uhusiano gani ya haya mavazi na uswahilini?
 
Simple tu dera la Uswazi likizidi bei buku 5 na jezi unazoziona uswazi ni za kurudufu pale karume zinauzwa kwa mafungu 3 buku 5 .

Jibu umeshapata mkuu.
 
Its cheap cloth na inakubalika watu hawakushangai ila huko ushuani baada ya game watu huvua jezi na baada ya shughuli huweka dela pembeni ila uswazi ndo maisha ya kila siku! Karibu uswazi.
 
Asante mkuu..
Pesa ya Nguo hakuna,maisha magumu...mtu anaburuza dera mwaka mzima...ama jezi ya yanga uhl mwaka mzima...wanazuga watu wa mpira!!
inawezekana kamanda
 
Nilikuwa naapita mitaaa ya uzwazi ya hapa Jijini.. Manzese na Magomeni. Ukikutana na wanawake 10.. lazima tisa wamevaa vazi la dera.. Ukikutana na vijana 10 lazima 9 wamezaa tshirt za timu(simba,yanga, madrid,Arsenal, Manchester etc)
Bado najiuliza kuna uhusiano gani ya haya mavazi na uswahilini?
Huko uzunguni kwenu hamvai jezi au madera? Misiba kibao si ya uzunguni wala uswahili wamama wanashona sare madera.
 
Mkuu siishi uzunguni. Ila kuna tofauti kubwa sana kati ya wakazi wa midddle class na ushawazi.. ninda Sinza/Makumbusho Tabata.. dera najezi zipo ila sio kama huku uswazi
 
Ni rahisi kununua
Nilikuwa naapita mitaaa ya uzwazi ya hapa Jijini.. Manzese na Magomeni. Ukikutana na wanawake 10.. lazima tisa wamevaa vazi la dera.. Ukikutana na vijana 10 lazima 9 wamezaa tshirt za timu(simba,yanga, madrid,Arsenal, Manchester etc)
Bado najiuliza kuna uhusiano gani ya haya mavazi na uswahilini?
 
Mkuu siishi uzunguni. Ila kuna tofauti kubwa sana kati ya wakazi wa midddle class na ushawazi.. ninda Sinza/Makumbusho Tabata.. dera najezi zipo ila sio kama huku uswazi
Kote wanavaa madera tofauti ni kuwa huku kwetu uswazi watu full time wako kibarazani au wanapuyanga mtaani ndio maana unaona madera mengi na huko ushuani kwenu watu muda mwingi wako magetini akitoka kaingia kwenye gari na dera lake.
 
Hhahaha. Hapana mkuu.. wewe panda Mwendokasi kuanzia Kimara.. halafu uone tofauti. KUANZIA Kimara mapak Ubungo Madera ya kuhesabu ila unapoinza Manzese ndio utanielewa
 
Back
Top Bottom