Kuna uhusiano gani kati ya vazi la DERA(ke) na jezi(me) na Uswazi?

nipo na kadada hapa nasoma kwa nguvu akaropoka eti kazi sio kununua deraa kazi kulushikiliaa nimebaki najiulizaa tuu hapaa[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Its cheap cloth na inakubalika watu hawakushangai ila huko ushuani baada ya game watu huvua jezi na baada ya shughuli huweka dela pembeni ila uswazi ndo maisha ya kila siku! Karibu uswazi.
Yes.

Kama jezi ni cheap clothes, easy to handle, compatible to all weather. Haihitaji pasi, ukifua inawahi kukauka, inavalika usiku na mchana bila shida.

Unaweza pata rafiki popote. Kwenye joto au baridi unatinga tu fresh. Haichafuki haraka, uchafu unatereza.

Inakwenda na wakati muda wote. Unaweza valia jeans, pensi, msuli, suluali ya kushona, kadeti hata suluali ya askari jezi haina shida.

Unaweza vaa ukweni, msibani, club, baa, hata ofisini siku za ijumaa na jumamosi.

Unaweza endea kwenye kwaya au kaswida hamna atakaye kufukuza.

Bado kuna swali kuhusu jezi niendelee??
 
Nipo kwenye bus kutoka arusha jirani kavaa dela natamani nimwulize akinipa majibu ntapost
 
Yes.

Kama jezi ni cheap clothes, easy to handle, compatible to all weather. Haihitaji pasi, ukifua inawahi kukauka, inavalika usiku na mchana bila shida.

Unaweza pata rafiki popote. Kwenye joto au baridi unatinga tu fresh. Haichafuki haraka, uchafu unatereza.

Inakwenda na wakati muda wote. Unaweza valia jeans, pensi, msuli, suluali ya kushona, kadeti hata suluali ya askari jezi haina shida.

Unaweza vaa ukweni, msibani, club, baa, hata ofisini siku za ijumaa na jumamosi.

Unaweza endea kwenye kwaya au kaswida hamna atakaye kufukuza.

Bado kuna swali kuhusu jezi niendelee??
Umeeleweka mkuu
 
Nilikuwa naapita mitaaa ya uzwazi ya hapa Jijini.. Manzese na Magomeni. Ukikutana na wanawake 10.. lazima tisa wamevaa vazi la dera.. Ukikutana na vijana 10 lazima 9 wamezaa tshirt za timu(simba,yanga, madrid,Arsenal, Manchester etc)
Bado najiuliza kuna uhusiano gani ya haya mavazi na uswahilini?
Dar ni joto so dira ndio nyepesi bei ni rahisi so uswazi ndio wanapenda kuvaa ila sio uswazi tu mtu akiwa nyumbani ndio anapenda kuvaa hewa inaingia unavaa kibikini hapo walaa aukikitu kwa ndani chepesi juu dira lako mbona rahaa
Hata hizo jezi ni inaingiza hewa naninzuri huko kwa joto so ndio hivyo akianza juma akaona raha wengine wanamuiliza wanavaa .
Kwa raha zao hata hizo nazo bei iko chini.
 
Nilikuwa naapita mitaaa ya uzwazi ya hapa Jijini.. Manzese na Magomeni. Ukikutana na wanawake 10.. lazima tisa wamevaa vazi la dera.. Ukikutana na vijana 10 lazima 9 wamezaa tshirt za timu(simba,yanga, madrid,Arsenal, Manchester etc)
Bado najiuliza kuna uhusiano gani ya haya mavazi na uswahilini?
Tayari umeshasema,huo ndo uhusiano
 
Hapo ni umasikini tu!
Kwanza wavaa jezi za mipira hapa bongo ndo maskni Wa kutupwa!
Wengi wao hawana dira yeyote kaz kubishana, kubet nk hopeless
ila kwa wale wamadela, kazi ya dela ni kuficha umaskni, ni aina ya wanawake wasio weza kubadilisha nguo Mara tatu kwa wiki
 
Duh wewe una roho mbaya sana.
 
Masikini wengi wanavaa hizo nguo kwa vile ni bei rahisi sana , hizo jezi wanazovaa hakuna original hata moja , zote famba ! kuvaa jezi ya simba au yanga kwa sehemu kubwa kunaakisi uwezo mdogo wa mtu kichwani .
Mkuu, Ukivaa jezi za timu gani ndo inaakisi uwezo mkubwa wa mtu kichwani...?
 
Back
Top Bottom