Simple tu dera la Uswazi likizidi bei buku 5 na jezi unazoziona uswazi ni za kurudufu pale karume zinauzwa kwa mafungu 3 buku 5 .Nilikuwa naapita mitaaa ya uzwazi ya hapa Jijini.. Manzese na Magomeni. Ukikutana na wanawake 10.. lazima tisa wamevaa vazi la dera.. Ukikutana na vijana 10 lazima 9 wamezaa tshirt za timu(simba,yanga, madrid,Arsenal, Manchester etc)
Bado najiuliza kuna uhusiano gani ya haya mavazi na uswahilini?
Asante mkuu..Its cheap cloth na inakubalika watu hawakushangai ila huko ushuani baada ya game watu huvua jezi na baada ya shughuli huweka dela pembeni ila uswazi ndo maisha ya kila siku! Karibu uswazi.
inawezekana kamandaPesa ya Nguo hakuna,maisha magumu...mtu anaburuza dera mwaka mzima...ama jezi ya yanga uhl mwaka mzima...wanazuga watu wa mpira!!
Sio kweli, ukisema hela ya nguo kwa dar nakukatalia kabisa maana dar Kuna nguo za bei rahisi mpaka 4000 shopPesa ya Nguo hakuna,maisha magumu...mtu anaburuza dera mwaka mzima...ama jezi ya yanga uhl mwaka mzima...wanazuga watu wa mpira!!
Huko uzunguni kwenu hamvai jezi au madera? Misiba kibao si ya uzunguni wala uswahili wamama wanashona sare madera.Nilikuwa naapita mitaaa ya uzwazi ya hapa Jijini.. Manzese na Magomeni. Ukikutana na wanawake 10.. lazima tisa wamevaa vazi la dera.. Ukikutana na vijana 10 lazima 9 wamezaa tshirt za timu(simba,yanga, madrid,Arsenal, Manchester etc)
Bado najiuliza kuna uhusiano gani ya haya mavazi na uswahilini?
You hve a point mkuu.. lkn hizi jezi ninazoziona hapa ni very low quality.. ila ngoja waje wengine tuoneKwa ninachofahamu mm, dar ni joto na ndiyo maana wengi hupendelea nguo laini au nyepesi, afu kwa wengi dar wanafuatilia mpira tofauti na huku mkoani kwetu.
Mkuu siishi uzunguni. Ila kuna tofauti kubwa sana kati ya wakazi wa midddle class na ushawazi.. ninda Sinza/Makumbusho Tabata.. dera najezi zipo ila sio kama huku uswaziHuko uzunguni kwenu hamvai jezi au madera? Misiba kibao si ya uzunguni wala uswahili wamama wanashona sare madera.
Nilikuwa naapita mitaaa ya uzwazi ya hapa Jijini.. Manzese na Magomeni. Ukikutana na wanawake 10.. lazima tisa wamevaa vazi la dera.. Ukikutana na vijana 10 lazima 9 wamezaa tshirt za timu(simba,yanga, madrid,Arsenal, Manchester etc)
Bado najiuliza kuna uhusiano gani ya haya mavazi na uswahilini?
Kote wanavaa madera tofauti ni kuwa huku kwetu uswazi watu full time wako kibarazani au wanapuyanga mtaani ndio maana unaona madera mengi na huko ushuani kwenu watu muda mwingi wako magetini akitoka kaingia kwenye gari na dera lake.Mkuu siishi uzunguni. Ila kuna tofauti kubwa sana kati ya wakazi wa midddle class na ushawazi.. ninda Sinza/Makumbusho Tabata.. dera najezi zipo ila sio kama huku uswazi
Hhahaha. Hapana mkuu.. wewe panda Mwendokasi kuanzia Kimara.. halafu uone tofauti. KUANZIA Kimara mapak Ubungo Madera ya kuhesabu ila unapoinza Manzese ndio utanielewaKote wanavaa madera tofauti ni kuwa huku kwetu uswazi watu full time wako kibarazani au wanapuyanga mtaani ndio maana unaona madera mengi na huko ushuani kwenu watu muda mwingi wako magetini akitoka kaingia kwenye gari na dera lake.
Wameyachomekea kwenye chupi?Hhahaha. Hapana mkuu.. wewe panda Mwendokasi kuanzia Kimara.. halafu uone tofauti. KUANZIA Kimara mapak Ubungo Madera ya kuhesabu ila unapoinza Manzese ndio utanielewa
Wameyachomekea kwenye chupi?[/QUOTE
Hahhahaha.. mkuu ulijuaje