Kuna uhusiano gani wa CC za gari na ulaji mafuta?

CC = cylinder capacity
 
mkuu upo vizuri mechanical engineering..
kwa kaelim kangu ka basic mechanical engineering nilikokasomaga first year mwaka flan, nimekusoma vizuri.. umekaelezea vizuri hako katopic
 
Siyo kweli mkuu CC ni Cubic Centimeter
.mkuu samahani kwa kuchomekea mada ila naulizia hizi gari zenye push button start engine with smart key. Hivi zina faida na hasara gani? Ikiwa engine inazingua bongo wanaweza zitengeneza? Ukipoteza smart key inakuwaje?
 
Hizo Gari ni za kisasa zaidi na kadri siku zinavyosonga teknolojia inaongezeka na kubadilika utakubaliana na Mimi kuwa magari ya miaka ya nyuma sio sawa na magari ya miaka hii ya sasa na yajayo. Lakini ni nadra sana kwa mafundi wetu kujionge na kujifunza teknolojia mpya ili kuendana na USASA was magari wengi wanabahatisha na wengineo wanasaidiwa na hizi machine Diagnosis.

Hivyo kuna changamoto lakini pia kuna fursa katika hili. Ukiwa na gari kama hill usipeleke kwa mafundi was mitaani utajuta
 
Nimenunua gari ya namna hiyo halafu niko mkoani Tanga. Sasa nina wasiwasi ikikorofisha
Halafu inaonekana mafundi zinawazingua sana. Coz nimefunga alarm system huko. Dar but fundi ilimsumbua sana besides that inaingiliana na smart key system
Sasa sijui nafanyaje?
 
Gari ikiwa na cc kubwa inaivuta hewa nyingi ill hewa ilipuke inaitaji mafuta mengi. Cc kidogo hewa kidogo mafuta kidogo. Karibu kwa maswali. AyoG Car Doctor. Simu 0784476245/759109880 niko Arusha
 
.mkuu samahani kwa kuchomekea mada ila naulizia hizi gari zenye push button start engine with smart key. Hivi zina faida na hasara gani? Ikiwa engine inazingua bongo wanaweza zitengeneza? Ukipoteza smart key inakuwaje?
Ni naweza kutengeneza kama unashida hiyo nipigie
 
hadi nahisi kizunguzungu eeh my driving school teacher hakunifundisha hii....lol
 
Gari lina immobilizer alitakubali allam moja lazima utumie zote mbili au utowe hiyo uliofunga
 
Gari lina immobilizer alitakubali allam moja lazima utumie zote mbili au utowe hiyo uliofunga
Immobilizer ndio nini na inafanyaje kazi mkuu?
Dah nmeifunga alarm gharama kilo mbili niitoe tena? Ninachofanya nafunga gari kwa kutumia alarm tu na si smart key. Inasaidia kiasi kwa kuwa gari ikisumbuliwa hasa upande wa mlango wa dereva inapiga kelele
 
.mkuu samahani kwa kuchomekea mada ila naulizia hizi gari zenye push button start engine with smart key. Hivi zina faida na hasara gani? Ikiwa engine inazingua bongo wanaweza zitengeneza? Ukipoteza smart key inakuwaje?
Ukipoteza smart key inabidi uagize smart key ingine[chasis number itatumika] ikija inabidi iwe programmed ndio itawasha gari.
 
Ukipoteza smart key inabidi uagize smart key ingine[chasis number itatumika] ikija inabidi iwe programmed ndio itawasha gari.
Unamaanisha unaagiza engine mpya kabisa ya gari? Hamna namna unaweza nunua funguo then ikawa programmed kwa hiyo gari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…