Kuna uhusiano gani wa CC za gari na ulaji mafuta?

Kuna uhusiano gani wa CC za gari na ulaji mafuta?

Land cruiser 1hz(cc4200)mshindani wake defender tdi(cc2500)angalia utofauti wa engine displacement ulivyo mkubwa kati yao ila tdi imebebwa na turbo japo ina cc ndogo lakini zinashabihiana nguvu kwa ukaribu na kwenye high hills defender will defeat 1hz.
 
nimejaribu kupitia mitandao mbalimbali sasa hivi nimegundua yafuatayo.
Fuel effieciency. Hii haina uhusiano kabisa na cc za gari bali inahusiana na ni mfumo gani gari inatumia ku inject mafta kwenye engine.
Fuel economy- hii kweli ina husiana na cc, cc kubwa ina maana gari ina engine kubwa, gari ikiwa na engine kubwa itahitaji mafta zaidi kufanya engine ifanye kazi pia hivyo ita consume mafta zaidi.
Pia namba za cylinder zinahusiana na ulaji mafuta maaana cylinder zaidi zinamaanisha kuna mlipuko zaidi.
4 cylinder itakula mafta machache compared na 6 cylinder.
 
Back
Top Bottom