Mwamba1961
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 626
- 409
Natamani kutoa jibu ila naogopa matusi coz watu wengi humu huamini kile wanachokiamini wanafikiri kila mtu ni kilaza juu ya hii fani
Wengi mmechangia vizuri ila mnakoroga kidogo kwenye cc
Jiulize hili swali
Je kiwango cha hewa kinachoingia kwenye cylinder kinaitwaje? Katika suction stroke vaccum inakuwa created na valve hufunguka na due to atmospheric pressure hewa ya nje hulazimisha kuingia ndani ya cylinder na hapo ndo kwenye hoja yangu ukiweza kugoogle hicho kitu utaelewa nn maana ya cc na uhusiano wake katika kutambua nguvu ya engine
Diesel engine ni engine ambayo inazalisha nguvu nyingi ukilinganisha na pestrol engine kwasababu ya utofauti wa carolific value (hapa sielezei coz sitaki matusi kutoka kwa watu wenye uelewa mdogo)
Ukija kwenye ignition temperature utagundua petrol inawahi kuwaka na huwai kuzimika wakati diesel huitaji joto jingi pia huchelewa kuzimika hivyo nguvu inayotolewa na diesel ni kubwa ukilinganisha na petrol, hapo ukifatilia vizuri utajua ni kwanini spark plug hutumika kwa petrol na sio diesel
Diesel engine hujitengenezea joto yenyewe kwa kucompress hewa jambo ambalo hufanya molecules ziwe zina zunguka na kufanya friction ya hyo hewa ndani ya cylinder na kuzalisha joto jingi ambalo linauwezo wa kuchoma diesel
Kwanini petrol hutumia spark plug? Jibu ni rahisi kuna kitu kinaitwa afterburning so endapo petrol itaachwa ijichome yenyewe hili tukio litakua linatokea mara kwa mara hali ambayo itapelekea kero kwa mtumiaji na zipo sababu nyingi pia unaweza kuongezea
Darasa huru kama hujaelewa au huamini sihiitaji matusi toa hoja na ntakuelewesha kwa ufasaha zaidi
By eng. Buzitata(not my name)
KUMBUKA.
Rangi nyekundu = Matusi unayataka wewe. Swala la uelewa mdogo usiseme
ILA NIMEKUELEWA NDUGU YANGU