Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah hili swali niliwai kuulizwa kwenye paper Ila hata sikumbuki nilijibu niniWakuu ninafuatilia mtandaoni kuhusu uhusiano wa hii topic naishia kuchanganyikiwa tu. Pia nimesearch Jf bahati mbaya sijaona, ukiwa na gari ya cc1990 na ingine ya cc2700 bado the same amount of gas utatumia?
TIA
buzitata kufungua nati unaaply torque hata kama haizunguki hiyo nati torque is there ...torque ikitosha ndo nati inazunguka
Chief naomba kufahamu,Ahsante ila tambua ukitaka kumueleza mtu kitu ni lazima uanzie sehem ambayo inamfanya mtu aelewe dhana yote kwa ujumla..... Rpm na idling speed vinaweza kutumika kumuelezea mtu akaelewa nini maana ya torque. Ni kama wewe ulivotoa mfano wa kufungua nati...kwani kufungua nati ni torque? Huo ni mfano umeutoa ili mtu apate picha fulani ili aweze kuelewa
Hapo kwenye idling speed tupaache coz tutabishana hadi tutamaliza data
Plug in your equation in google!Sasa ninataka kujua cc 1000 inakula mafuta 1lita kwa km ngapi?
cc 2000 pia.
Ahsante
RAV4 yako inakula sana mafuta eeeeehhhh?Huu uzi ngoja ntarudi..
Kuna kitu umenifunza magari makubwa kama mabus yana nguvu sana na mbio hatari yote ni dizelNarudia tena kwa msisitizo DIESEL ENGINE IS MORE POWERFULL THAN PETROL ENGINE...... Kama unabisha andamana
Kila mafuta yana properties, kwa mfano Kuna ignition point na calorific value (zipo zaid ya tano Ila hapa natumia hzi mbili)Kuna kitu umenifunza magari makubwa kama mabus yana nguvu sana na mbio hatari yote ni dizel
Lakini hebu fafanua vizuri huu upowerful wa dizel na petroli upoje kwenye spidi ya kuondoka
Mfano una spacio mbili sawa kila kitu ila moja ni petrol nyingine dizel zikiondoka kwa pamoja kukimbia nani atamuacha mwenzake?...spacio dizel itaiacha spacio petrol kwa sababu dizel ina nguvu ?
Aksante
Gari ndogo zimeundwa kwa ajili ya kazi nyepesi na sio kubeba mizigo.Kila mafuta yana properties, kwa mfano Kuna ignition point na calorific value (zipo zaid ya tano Ila hapa natumia hzi mbili)
Calorific value ni ile nguvu iliyopo ndan ya mafuta na ignition point ni ule uwezo wa mafuta kuungua
Kwa mafuta ya diesel haya Yana nguvu nyingi zaid ukilinganisha na petrol lakin ni magumu kuungua ukilinganisha na petrol ambayo haihitaj joto jingi ili yaweze kuwaka. Kwa Hali ya kawaida tunasema petrol engine is more efficient than diesel engine but less powerful once we compare with diesel engine
Ukichikua hizo Paso zako ulizosema hapo juu na tukaziweka zipandishe mlima kitonga zikiwa na kamzigo kiasi utaona ile inayotumia diesel engine itapanda bila wasiwasi Sana yaan unaweza ukapanda hata na gia namba 3 Ila kwa petrol engine itapanda kwa shida kidogo kutokana na hyo calorific value iliyomo ndan ya mafuta
Shukran..