Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Nakili sina ujuzi wa mada za uchunguzi ila kwa kutumia tu "common sense" ambayo kila mtu anazaliwa nayo na kwa msaada wenu "great thinker" hebu tuunganishe dots hapa(huu ni Uzi shirikishi) ili kuwabaini Wanasiasa hapa nchini ambao wapo karibu sana na wana urafiki na wenzako wa chama cha Democratic.
Ukiona mbunge tena mwenye pesa na ushawishi mkubwa kabeba bango na kuandamana huku povu likimtoka na matusi juu kama ambavyo tunashuhudia democratic wanagalagala jua kuna maslahi yake binafsi yameguswa.
Kwa kuanzia nawataja Zitto Kabwe, Lazaro Nyalandu, January Makamba, hawa Wana masawahiba wengi Democratic na wewe ongezea wengine....