Fabolous
JF-Expert Member
- Sep 23, 2010
- 2,993
- 3,747
Watu wenye IQ ndogo ndio sifa yao kuu hiyo.Wataje tuangalie wanatoka chama gani na wapo mlengo gani, mkuu sio vizuri hii mada ikaangukia kwenye uCCM na uChadema, samahani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wenye IQ ndogo ndio sifa yao kuu hiyo.Wataje tuangalie wanatoka chama gani na wapo mlengo gani, mkuu sio vizuri hii mada ikaangukia kwenye uCCM na uChadema, samahani!
hutaki kuamini au?Wamarekani ni kati ya watu wanaoiba rasilimali za nchi yetu?
@ndembile ww ndie ulieleta huu uzi na mada ni yako. nisaidie na hili swali na jibu lake.Wamarekani ni kati ya watu wanaoiba rasilimali za nchi yetu?
Kwa kuwatumia Wanasiasa wetu, wamarekani wanaiba Raslimali zetu ndio, na misaada pia wanaiba yaani wanakupa pesa za misaada na wanazichukua kupitia Wanasiasa wetu!@ndembile ww ndie ulieleta huu uzi na mada ni yako. nisaidie na hili swali na jibu lake.
Yoda jibu lako hilo hapo.Kwa kuwatumia Wanasiasa wetu, wamarekani wanaiba Raslimali zetu ndio, na misaada pia wanaiba yaani wanakupa pesa za misaada na wanazichukua kupitia Wanasiasa wetu!
nn kifanyike ?Kwa kuwatumia Wanasiasa wetu, wamarekani wanaiba Raslimali zetu ndio, na misaada pia wanaiba yaani wanakupa pesa za misaada na wanazichukua kupitia Wanasiasa wetu!
Wamarekani na Watanzania?Tuwatambue kwa majina na biashara zao, tutoe elimu kwa wapiga Kura juu ya biashara zao za "kisiasa" tuwanyime Kura!
Chadema ni Conservatives (Center-right) kama walivyo Republicans au Conservative party of UK!! so hawashabihiani chochote na sera za mrengo wa kushoto kama Democrats wa Marekani.Ukimsikiliza katika hotuba yake ya mwisho kuhusiana na "no reform no election" aliweka bayana kuwa kama serikali ya CCM isipoweka mazingira ya uchaguzi wa wazi na haki basi wao kama CDM hawatosita kwenda kuomba msaada kwa marafiki zao huko duniani. Ulimuelewa?
calm down brother. Nn inauma?Ujinga buana, Wamarekani wamekuibia nini?
CC CHADEMA Conservatives? tunaeza wafukuza wachina?Chadema ni Conservative kama walivyo Republicans au Conservative party of UK!! so hawashabihiani chochote na sera za mrengo wa kushoto kama Democrats wa Marekani.
Bahati mbaya ni kwamba hata Trump na mabilionea wenzake wanaangalia namna gani watajinufaisha!Nakili sina ujuzi wa mada za uchunguzi ila kwa kutumia tu "common sense" ambayo kila mtu anazaliwa nayo na kwa msaada wenu "great thinker" hebu tuunganishe dots hapa(huu ni Uzi shirikishi) ili kuwabaini Wanasiasa hapa nchini ambao wapo karibu sana na wana urafiki na wenzako wa chama cha Democratic.
Ukiona mbunge tena mwenye pesa na ushawishi mkubwa kabeba bango na kuandamana huku povu likimtoka na matusi juu kama ambavyo tunashuhudia democratic wanagalagala jua kuna maslahi yake binafsi yameguswa.
Kwa kuanzia nawataja Zitto Kabwe, Lazaro Nyalandu, January Makamba, hawa Wana masawahiba wengi Democratic na wewe ongezea wengine....
View attachment 3226511
View attachment 3226513