Nakili sina ujuzi wa mada za uchunguzi ila kwa kutumia tu "common sense" ambayo kila mtu anazaliwa nayo na kwa msaada wenu "great thinker" hebu tuunganishe dots hapa(huu ni Uzi shirikishi) ili kuwabaini Wanasiasa hapa nchini ambao wapo karibu sana na wana urafiki na wenzako wa chama cha Democratic.
Ukiona mbunge tena mwenye pesa na ushawishi mkubwa kabeba bango na kuandamana huku povu likimtoka na matusi juu kama ambavyo tunashuhudia democratic wanagalagala jua kuna maslahi yake binafsi yameguswa.
Kwa kuanzia nawataja Zitto Kabwe, Lazaro Nyalandu, January Makamba, hawa Wana masawahiba wengi Democratic na wewe ongezea wengine....
Ukimsikiliza katika hotuba yake ya mwisho kuhusiana na "no reform no election" aliweka bayana kuwa kama serikali ya CCM isipoweka mazingira ya uchaguzi wa wazi na haki basi wao kama CDM hawatosita kwenda kuomba msaada kwa marafiki zao huko duniani. Ulimuelewa?
Unakumbuka Richmond aka Dowans na Marekani, dhahabu, mbuga za wanyama, almasi,
Angalau hicho kidogo kitusaidie tuondokane na misaada ya namna hii; View attachment 3226524

Yes absolutely upo wizi tena mkubwaaa!!!Hizo pesa wanasiasa wa Marekani walikuwa wanawalipa wanasiasa wetu(hasa serikalini) kwa njia ya misaada eti ya kupigania gender equality na mambo ya hali ya hewa!!!real how?Yaan 14m usd kupigania haki za kijinsia!Mbona hatuoni chochote?Kwenye climate change ndio kule kupanda miti kwa akina Makamba ofisi ya mkuu wa mkoa Tabora!?Tabora miti ilipandwa na jeshi na walioikuza ni wananchi kwa amri mti ukiharibika unalipa faini!!Jaman at least watafute namna nyingine ya kulipana wanapouziana rasilimali za nchi
Huyu alikuwa mbele kwenye. Maandamano ya kuitetea USAID "ulaji" maana wanasema naye ni mnufaika kwa mlango wa nyuma WA fedha za misaada kwenda "kwao" Somalia sasa naona upepo umegeuka kwake..
Huyu alikuwa mbele kwenye. Maandamano ya kuitetea USAID "ulaji" maana wanasema naye ni mnufaika kwa mlango wa nyuma WA fedha za misaada kwenda "kwao" Somalia sasa naona upepo umegeuka kwake..
Unakumbuka Richmond aka Dowans na Marekani, dhahabu, mbuga za wanyama, almasi,
Angalau hicho kidogo kitusaidie tuondokane na misaada ya namna hii; View attachment 3226524
karibia asilimia 35 ya vyama vya siasa vya upinzani vilivyoingia madarakani ulimwenguni,so far ni wale wa mrengo wa kulia -far right populist fascist Na hii ni trend tangia za 2015 mpaka hapa tulipo. fanya hesabu zako mwenyewe.
Mh. Tundu Lissu ndiye mkombozi na make tanzania great again?