Kuna Uhusiano wa Wizi wa Raslimali za Nchi Yetu na Wanasiasa wa Chama cha Democratic cha Marekani?

Wataje tuangalie wanatoka chama gani na wapo mlengo gani, mkuu sio vizuri hii mada ikaangukia kwenye uCCM na uChadema, samahani!
Watu wenye IQ ndogo ndio sifa yao kuu hiyo.
 
Wamarekani ni kati ya watu wanaoiba rasilimali za nchi yetu?
hutaki kuamini au?

Umeulizwa swali hapo unalikimbia.

Hebu muulize huyo mleta mada kama ni Wamerekani bana, mbona una diflect hivo
 
Wamarekani ni kati ya watu wanaoiba rasilimali za nchi yetu?
@ndembile ww ndie ulieleta huu uzi na mada ni yako. nisaidie na hili swali na jibu lake.
 
@ndembile ww ndie ulieleta huu uzi na mada ni yako. nisaidie na hili swali na jibu lake.
Kwa kuwatumia Wanasiasa wetu, wamarekani wanaiba Raslimali zetu ndio, na misaada pia wanaiba yaani wanakupa pesa za misaada na wanazichukua kupitia Wanasiasa wetu!
 
Kwa kuwatumia Wanasiasa wetu, wamarekani wanaiba Raslimali zetu ndio, na misaada pia wanaiba yaani wanakupa pesa za misaada na wanazichukua kupitia Wanasiasa wetu!
Yoda jibu lako hilo hapo.

Ssa cndio itakuwa hatari zaidi pale walipohamishia shughuli zake(USAID) chini ya Waziri wa Mambo ya Nje ?

Wanasema, hakuna msaada bila kwa nchi zinazopokea misaada kuwa "aligned with US Interest"

US interest ndio zipi hizo?
 
Kwa kuwatumia Wanasiasa wetu, wamarekani wanaiba Raslimali zetu ndio, na misaada pia wanaiba yaani wanakupa pesa za misaada na wanazichukua kupitia Wanasiasa wetu!
nn kifanyike ?
 
Tuwatambue kwa majina na biashara zao, tutoe elimu kwa wapiga Kura juu ya biashara zao za "kisiasa" tuwanyime Kura!
Wamarekani na Watanzania?
Democrats na Republicans?
 
Chadema ni Conservatives (Center-right) kama walivyo Republicans au Conservative party of UK!! so hawashabihiani chochote na sera za mrengo wa kushoto kama Democrats wa Marekani.
 
Chadema ni Conservative kama walivyo Republicans au Conservative party of UK!! so hawashabihiani chochote na sera za mrengo wa kushoto kama Democrats wa Marekani.
CC CHADEMA Conservatives? tunaeza wafukuza wachina?
 
Bahati mbaya ni kwamba hata Trump na mabilionea wenzake wanaangalia namna gani watajinufaisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…