Kuna ujumbe wenu JWTZ hapa kutoka X. Mjumbe hauawi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
JWTZ someni ujumbe wenu kutoka X

Mmeshindwa kulinda Ardhi Yetu, Bandari zetu,Gesi Yetu, Madini Yetu, Mbuga zetu na Mifumo ya hovyo ya kuruhusu uholela wa wageni kuingia nchini, vijana, ndugu zenu,wazee wenu wamepoteza vingi kama ajira,ardhi na mengine mengi halafu mnasema amani na utulivu. Haya weeeee

JWTZ, jukumu lenu ni nn haswa kwny ili Taifa!?
Yaan, Wagambo ndio mnawaogopa had mje Leo & maneno ya kutetemeka!?
Nyie sio JWTZ lnlipewa jukumu la ulinzi hpa Tanzania.
Nyinyi ni JCCMTZ(Jeshi la Chama Cha Mapinduzi Tanzania)..
 
Mwenye ushahidi kamili juu ya kuuzwa bandari, gas,madini au mbuga zetu,tukutame,tukafungue kesi mahakamani,
::Note mwenye ushahidi kamili!?usio na dosari......
::Nimechoka na hearsays.....
 
Kawafungulie kesi unaowaona wanaendekeza hearsays.watakuja na ushahidi huo Mahakamani wathibitishe.
Kama ni hearsay ajaribu kwenda nchi ya falme za kiarabu kule Loliondo, yaani falme za kiarabu wamenunua au kuhodhi mbuga ambako wamesimika bendera ndani ya ardhi ya Tanganyika na hakuna mjinga mweusi ataruhusiwa kuingia.
 
Mwenye ushahidi kamili juu ya kuuzwa bandari, gas,madini au mbuga zetu,tukutame,tukafungue kesi mahakamani,
::Note mwenye ushahidi kamili!?usio na dosari......
::Nimechoka na hearsays.....
Minyumbu haitojibu chochote hapa, itaishia kukutukana tu.
 
Kama ni hearsay ajaribu kwenda nchi ya falme za kiarabu kule Loliondo, yaani falme za kiarabu wamenunua au kuhodhi mbuga ambako wamesimika bendera ndani ya ardhi ya Tanganyika na hakuna mjinga mweusi ataruhusiwa kuingia.
Tupia picha
 
Mwenye ushahidi kamili juu ya kuuzwa bandari, gas,madini au mbuga zetu,tukutame,tukafungue kesi mahakamani,
::Note mwenye ushahidi kamili!?usio na dosari......
::Nimechoka na hearsays.....
Yaani hujaona mkataba hata moja ya mwekezaji wa Madini, Bandari, Wanyamapori na wala hakuna manufaa ya hao wawekezaji lakini bado unahitaji ushahidi kwa wanaosema kuwa zimeuzwa?

Mnapenda sana upotoshaji sijui mnanufaika kiasi gani hadi usione umuhimu wa kizazi chako cha nne.
 
Ki ukweli, inaumiza sana. Ilitakiwa mihimili hii mitatu kila mhimili ujitegemee ili kwamba kama mhimili mmoja utaoza, basi mihimili miwili iliyobaki itaushikilia huu mhimili uliooza ili usilete madhara makubwa kwa jamii. Lakini pia kama ingetokea mihimili yote mitatu imeoza, ilitakiwa Jeshi letu ndo lisimame imara kuwalinda wananchi dhidi ya dhuluma kutoka kwenye mihimili iliyooza na kulinda Rasilimali zetu dhidi ya wizi na uporaji wake, sasa basi, kama hali ndo hii, nani anakuja kuinusuru Tanzania?
 
Mwenye ushahidi kamili juu ya kuuzwa bandari, gas,madini au mbuga zetu,tukutame,tukafungue kesi mahakamani,
::Note mwenye ushahidi kamili!?usio na dosari......
::Nimechoka na hearsays.....
Screenshot_20250823-084911~2.png
 
Mwenye ushahidi kamili juu ya kuuzwa bandari, gas,madini au mbuga zetu,tukutame,tukafungue kesi mahakamani,
::Note mwenye ushahidi kamili!?usio na dosari......
::Nimechoka na hearsays.....
Kwa Ccm hii ukiwa na ushahidi usio na chembe ya shaka ndo unakuwa tishio zaidi kwao, wanakuua asubuhi na mapema kama wanauwa watu kwa kujipost tu wanakemea maovu itakuwa uwe na ushahidi wa ardhi, mbuga, bandari,rasilimali jinsi vinavyoporwa ubaki salama.

Wewe thubutu!!!
 
JWTZ someni ujumbe wenu kutoka X

Mmeshindwa kulinda Ardhi Yetu, Bandari zetu,Gesi Yetu, Madini Yetu, Mbuga zetu na Mifumo ya hovyo ya kuruhusu uholela wa wageni kuingia nchini, vijana, ndugu zenu,wazee wenu wamepoteza vingi kama ajira,ardhi na mengine mengi halafu mnasema amani na utulivu. Haya weeeee

JWTZ, jukumu lenu ni nn haswa kwny ili Taifa!?
Yaan, Wagambo ndio mnawaogopa had mje Leo & maneno ya kutetemeka!?
Nyie sio JWTZ lnlipewa jukumu la ulinzi hpa Tanzania.
Nyinyi ni JCCMTZ(Jeshi la Chama Cha Mapinduzi Tanzania)..
Noma sana
 
Hakuna watu wanaoogopa kupoteza ajira kama wanajeshi. Yaani mtu mwenye akili ya kuajiriwa ni muoga vibaya sana.
 
Mahakama zipi, hizi za simu moja?
We want to get fact?,msikwepe kijanja leteni ushahidi usio na shaka,tukafungue shauri...kulalama kama kenge bila ushahidi timilifu siyo sawa kabisa!
 
Back
Top Bottom