Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Eti noma sana, kulalama bila evidance ni upuuzi wa kiwango cha juu mno, brings here evidence so it may help launch the fact and Truth!?Noma sana
Eti noma sana, kulalama bila evidance ni upuuzi wa kiwango cha juu mno, brings here evidence so it may help launch the fact and Truth!?Noma sana
Mbona wengi tu Huwa wanasema mnaishia kuwaua au kuwateka kama polepole, au ushahidi gani unaozungumzia.Mwenye ushahidi kamili juu ya kuuzwa bandari, gas,madini au mbuga zetu,tukutame,tukafungue kesi mahakamani,
::Note mwenye ushahidi kamili!?usio na dosari......
::Nimechoka na hearsays.....
JCCMTZJWCCM
Nguruwe mnamipashoMinyumbu haitojibu chochote hapa, itaishia kukutukana tu.
Tangia lini mwananchi akawa na document za siri za government? Acha kutuchuuzaMwenye ushahidi kamili juu ya kuuzwa bandari, gas,madini au mbuga zetu,tukutame,tukafungue kesi mahakamani,
::Note mwenye ushahidi kamili!?usio na dosari......
::Nimechoka na hearsays.....
Hizi porojo ungemwandikia mamakoJWTZ someni ujumbe wenu kutoka X
Mmeshindwa kulinda Ardhi Yetu, Bandari zetu,Gesi Yetu, Madini Yetu, Mbuga zetu na Mifumo ya hovyo ya kuruhusu uholela wa wageni kuingia nchini, vijana, ndugu zenu,wazee wenu wamepoteza vingi kama ajira,ardhi na mengine mengi halafu mnasema amani na utulivu. Haya weeeee
JWTZ, jukumu lenu ni nn haswa kwny ili Taifa!?
Yaan, Wagambo ndio mnawaogopa had mje Leo & maneno ya kutetemeka!?
Nyie sio JWTZ lnlipewa jukumu la ulinzi hpa Tanzania.
Nyinyi ni JCCMTZ(Jeshi la Chama Cha Mapinduzi Tanzania)..
Mapoyoyo tu hayo yanajiropokea km wehuMwenye ushahidi kamili juu ya kuuzwa bandari, gas,madini au mbuga zetu,tukutame,tukafungue kesi mahakamani,
::Note mwenye ushahidi kamili!?usio na dosari......
::Nimechoka na hearsays.....
Ni siku watanzania wenyewe watakapoamka na kuvaa ujasiri kuanzia mioyoni mwao mpaka nje ya miili yao na kuchukua hatua ya kusema sasa inatosha na kuvaa uzalendo wa kweli na kuwa tayari kuifia nchi yao. Siku maandamano haya yatakapotokea katika miji mikubwa yote si polisi wala migambo itakayoweza kuzuia.Ki ukweli, inaumiza sana. Ilitakiwa mihimili hii mitatu kila mhimili ujitegemee ili kwamba kama mhimili mmoja utaoza, basi mihimili miwili iliyobaki itaushikilia huu mhimili uliooza ili usilete madhara makubwa kwa jamii. Lakini pia kama ingetokea mihimili yote mitatu imeoza, ilitakiwa Jeshi letu ndo lisimame imara kuwalinda wananchi dhidi ya dhuluma kutoka kwenye mihimili iliyooza na kulinda Rasilimali zetu dhidi ya wizi na uporaji wake, sasa basi, kama hali ndo hii, nani anakuja kuinusuru Tanzania?
Narudia tena, kwenye mahakama zipi?We want to get fact?,msikwepe kijanja leteni ushahidi usio na shaka,tukafungue shauri...kulalama kama kenge bila ushahidi timilifu siyo sawa kabisa!
Kwani sa hivi la akina naniJWTZ ilikuwa ya akina Msuguri na Mboma..
Hata kiswahili tu ungeeleweka mkuu. UsifosiEti noma sana, kulalama bila evidance ni upuuzi wa kiwango cha juu mno, brings here evidence so it may help launch the fact and Truth!?
hivi yule kibaraka aliwahi kuwafariji eti vyombo vya ulinzi vipo upande wa mamluki yupo wap siku izi?JWTZ someni ujumbe wenu kutoka X
Mmeshindwa kulinda Ardhi Yetu, Bandari zetu,Gesi Yetu, Madini Yetu, Mbuga zetu na Mifumo ya hovyo ya kuruhusu uholela wa wageni kuingia nchini, vijana, ndugu zenu,wazee wenu wamepoteza vingi kama ajira,ardhi na mengine mengi halafu mnasema amani na utulivu. Haya weeeee
JWTZ, jukumu lenu ni nn haswa kwny ili Taifa!?
Yaan, Wagambo ndio mnawaogopa had mje Leo & maneno ya kutetemeka!?
Nyie sio JWTZ lnlipewa jukumu la ulinzi hpa Tanzania.
Nyinyi ni JCCMTZ(Jeshi la Chama Cha Mapinduzi Tanzania)..
🤔🤔🤔hivi yule kibaraka aliwahi kuwafariji eti vyombo vya ulinzi vipo upande wa mamluki yupo wap siku izi?
yule wa drama za kindezi za kujiteka?🐒
Yule jamaa endapo yatafunguliwa mashtaka,yule ni main character wa maafa yaliyotokea!hivi yule kibaraka aliwahi kuwafariji eti vyombo vya ulinzi vipo upande wa mamluki yupo wap siku izi?
yule wa drama za kindezi za kujiteka?🐒
""Physical documented material""...ambayo ikiwekwa mahakamani italeta umaana wa kesi na malalamiko,nimechoka na vijineno vya kwenye KHANGAMbona wengi tu Huwa wanasema mnaishia kuwaua au kuwateka kama polepole, au ushahidi gani unaozungumzia.
Hapo umenikosha. Ni kweli kabisa kwamba, ukombozi kamili wa Nchi hii upo mikononi mwa wananchi wenyewe. Hapa shida kubwa ni Watanzania wengi bado wapo gizani. Hawana ufahamu wa kutosha kuhusu Mambo ya Msingi katika Nchi. Vile vile wengi hatujitambui, na wanaojitambua ambao walitakiwa kuwaamsha wengine, wameamua kusimama upande wa udhalimu ili wafaidi mema ya Nchi.Ni siku watanzania wenyewe watakapoamka na kuvaa ujasiri kuanzia mioyoni mwao mpaka nje ya miili yao na kuchukua hatua ya kusema sasa inatosha na kuvaa uzalendo wa kweli na kuwa tayari kuifia nchi yao. Siku maandamano haya yatakapotokea katika miji mikubwa yote si polisi wala migambo itakayoweza kuzuia.
Jeshi kazi yake ni kuobserve na kuwalinda wananchi na wakiona hali inakuwa mbaya hawana budi kuchukua madaraka ya nchi mpaka hali itakapotulia.
Mama yako ndiyo mke wangu. Hivyo ujue unamtukana baba yakoHizi porojo ungemwandikia mamako
Kama wewe mpaka leo hujauona shahidi uliopo wa wazi kabisa basi eitha wewe ni taahira au mnafiki asiyestahili kuwa miongoni mwa wenye akiliMwenye ushahidi kamili juu ya kuuzwa bandari, gas,madini au mbuga zetu,tukutame,tukafungue kesi mahakamani,
::Note mwenye ushahidi kamili!?usio na dosari......
::Nimechoka na hearsays.....