Mwenye ushahidi kamili juu ya kuuzwa bandari, gas,madini au mbuga zetu,tukutame,tukafungue kesi mahakamani,JWTZ someni ujumbe wenu kutoka X
Mmeshindwa kulinda Ardhi Yetu, Bandari zetu,Gesi Yetu, Madini Yetu, Mbuga zetu na Mifumo ya hovyo ya kuruhusu uholela wa wageni kuingia nchini, vijana, ndugu zenu,wazee wenu wamepoteza vingi kama ajira,ardhi na mengine mengi halafu mnasema amani na utulivu. Haya weeeee
Kawafungulie kesi unaowaona wanaendekeza hearsays.watakuja na ushahidi huo Mahakamani wathibitishe.Mwenye ushahidi kamili juu ya kuuzwa bandari, gas,madini au mbuga zetu,tukutame,tukafungue kesi mahakamani,
::Note mwenye ushahidi kamili!?usio na dosari......
::Nimechoka na hearsays.....
Kama ni hearsay ajaribu kwenda nchi ya falme za kiarabu kule Loliondo, yaani falme za kiarabu wamenunua au kuhodhi mbuga ambako wamesimika bendera ndani ya ardhi ya Tanganyika na hakuna mjinga mweusi ataruhusiwa kuingia.Kawafungulie kesi unaowaona wanaendekeza hearsays.watakuja na ushahidi huo Mahakamani wathibitishe.
Minyumbu haitojibu chochote hapa, itaishia kukutukana tu.Mwenye ushahidi kamili juu ya kuuzwa bandari, gas,madini au mbuga zetu,tukutame,tukafungue kesi mahakamani,
::Note mwenye ushahidi kamili!?usio na dosari......
::Nimechoka na hearsays.....
Tupia pichaKama ni hearsay ajaribu kwenda nchi ya falme za kiarabu kule Loliondo, yaani falme za kiarabu wamenunua au kuhodhi mbuga ambako wamesimika bendera ndani ya ardhi ya Tanganyika na hakuna mjinga mweusi ataruhusiwa kuingia.
Jeshi la Chama Cha Mapinduzi Tanzania JCCMTzJWCCM
Yaani hujaona mkataba hata moja ya mwekezaji wa Madini, Bandari, Wanyamapori na wala hakuna manufaa ya hao wawekezaji lakini bado unahitaji ushahidi kwa wanaosema kuwa zimeuzwa?Mwenye ushahidi kamili juu ya kuuzwa bandari, gas,madini au mbuga zetu,tukutame,tukafungue kesi mahakamani,
::Note mwenye ushahidi kamili!?usio na dosari......
::Nimechoka na hearsays.....
Acha ufalaMwenye ushahidi kamili juu ya kuuzwa bandari, gas,madini au mbuga zetu,tukutame,tukafungue kesi mahakamani,
::Note mwenye ushahidi kamili!?usio na dosari......
::Nimechoka na hearsays.....
Mwenye ushahidi kamili juu ya kuuzwa bandari, gas,madini au mbuga zetu,tukutame,tukafungue kesi mahakamani,
::Note mwenye ushahidi kamili!?usio na dosari......
::Nimechoka na hearsays.....
Kwa Ccm hii ukiwa na ushahidi usio na chembe ya shaka ndo unakuwa tishio zaidi kwao, wanakuua asubuhi na mapema kama wanauwa watu kwa kujipost tu wanakemea maovu itakuwa uwe na ushahidi wa ardhi, mbuga, bandari,rasilimali jinsi vinavyoporwa ubaki salama.Mwenye ushahidi kamili juu ya kuuzwa bandari, gas,madini au mbuga zetu,tukutame,tukafungue kesi mahakamani,
::Note mwenye ushahidi kamili!?usio na dosari......
::Nimechoka na hearsays.....
Noma sanaJWTZ someni ujumbe wenu kutoka X
Mmeshindwa kulinda Ardhi Yetu, Bandari zetu,Gesi Yetu, Madini Yetu, Mbuga zetu na Mifumo ya hovyo ya kuruhusu uholela wa wageni kuingia nchini, vijana, ndugu zenu,wazee wenu wamepoteza vingi kama ajira,ardhi na mengine mengi halafu mnasema amani na utulivu. Haya weeeee
JWTZ, jukumu lenu ni nn haswa kwny ili Taifa!?
Yaan, Wagambo ndio mnawaogopa had mje Leo & maneno ya kutetemeka!?
Nyie sio JWTZ lnlipewa jukumu la ulinzi hpa Tanzania.
Nyinyi ni JCCMTZ(Jeshi la Chama Cha Mapinduzi Tanzania)..
Mahakama zipi, hizi za simu moja?Mwenye ushahidi kamili juu ya kuuzwa bandari, gas,madini au mbuga zetu,tukutame,tukafungue kesi mahakamani,
::Note mwenye ushahidi kamili!?usio na dosari......
::Nimechoka na hearsays.....
Hakuna watu wanaoogopa kupoteza ajira kama wanajeshi. Yaani mtu mwenye akili ya kuajiriwa ni muoga vibaya sana.JWTZ someni ujumbe wenu kutoka X
Mmeshindwa kulinda Ardhi Yetu, Bandari zetu,Gesi Yetu, Madini Yetu, Mbuga zetu na Mifumo ya hovyo ya kuruhusu uholela wa wageni kuingia nchini, vijana, ndugu zenu,wazee wenu wamepoteza vingi kama ajira,ardhi na mengine mengi halafu mnasema amani na utulivu. Haya weeeee
JWTZ, jukumu lenu ni nn haswa kwny ili Taifa!?
Yaan, Wagambo ndio mnawaogopa had mje Leo & maneno ya kutetemeka!?
Nyie sio JWTZ lnlipewa jukumu la ulinzi hpa Tanzania.
Nyinyi ni JCCMTZ(Jeshi la Chama Cha Mapinduzi Tanzania)..
We want to get fact?,msikwepe kijanja leteni ushahidi usio na shaka,tukafungue shauri...kulalama kama kenge bila ushahidi timilifu siyo sawa kabisa!Mahakama zipi, hizi za simu moja?