Kuna ukwel gan kwenye hii mishahara ya wachezaji?

Hizo ni propaganda za kutoana kwenye reli. Aliletwa Mayele azime mjadara wa mwenendo wa Simba akapewa airtime watu mitandaoni wakakesha na habari za Mayele. Sasa hivi limetengenezwa hilo ili watu wajadili hili ili kuto focus kwenye mambo ya msingi. Hakuna ukweli juu hilo mtu kaamua kujitengezea na kupost ili kutengeneza mjadala.
 
Kwa uchumi wa Tanzania inawezekana kabisa huo mshahara na hizo hela ni nyingi sana kwa hali ya uchumi wa vilabu vyetu.

Kwani hao wachezaji wa kigeni si wanakuwa wamepewa nyumba, usafiri, na hela ya usajili nje ya huo mshahara? Sasa waende wapi kama timu za Ulaya hazijajitokeza kuwasajili ?

Halafu wachezaji wa kigeni ni wajanja sana huwa wanakubali kucheza bongo hata kwa hela ndogo kwa sababu wanakuwa wanataka kujibrand na kupanda bei!
 
Walisaini wenyewe na kukubaliana na timu yao ya utomasandawane...so hakuna baya
 
hakuna uhakika wa hizi taarifa nmeziona tu mtandaoni
 
Pacome anakuja yanga akiwa MVP wa ligi kuu ya ivory coast hakuja hapa akiwa mchezaji anaejitafuta. Hata ivyo iyo list ni fake
 
Hakuna mchezaji wa timu ya wakubwa anaelipwa chini ya milioni 1 pale yanga, diarra analipwa milion 7, embu tumia akili ndogo tu Farid Mussa kaenda yanga akitokea ulaya halafu akubali kulipwa 700k.!. Iyo list ni fake.
 
Naona list inaonyesha mishahara mikubwa ila kiuhalisia hapana.. wachezaji wa kigeni wanalipwa fedha kubwa ila nyingi wanaziacha kwenye mamlaka kuanzia tax, residential permit, work permit, residents, usafiri n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…