Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Hizo ni propaganda za kutoana kwenye reli. Aliletwa Mayele azime mjadara wa mwenendo wa Simba akapewa airtime watu mitandaoni wakakesha na habari za Mayele. Sasa hivi limetengenezwa hilo ili watu wajadili hili ili kuto focus kwenye mambo ya msingi. Hakuna ukweli juu hilo mtu kaamua kujitengezea na kupost ili kutengeneza mjadala.Guede huu hata mimi imenishangaza.
Vipi, kama mshahara huo ikiwa kaishakatwa kodi kabisa, kwenye mkataba lazima kila mtu avutie kwake, fei alileta mapenzi uchwara hatimae baadae akaanza kulia lia, huenda diarra nae kwake ni mzigo mwingi, akiingia mkataba mpya nae atalilia maslahi zaidi, usishangae akala 10+