Kuna ukweli gani mabinti wengi wazuri wa bar, hotel na benki hupata kazi hizo baada ya hongo ya ngono?

Kuna ukweli gani mabinti wengi wazuri wa bar, hotel na benki hupata kazi hizo baada ya hongo ya ngono?

Ili usaidike lazima ujitoe kwa moyo🔏
Ni kweli mameneja/wakurugenzi wengi wa bar, hotel na benki hutaka kupewa ngono kwanza na mabinti kabla ya kuwapa kazi?
gracesarakikyaa_7170345.jpg
 
Kitu kizur kinavutia wateja ukiweka kwenye biashara yako.

Mfano mm bar inayohudumiwa na wabibi sikai😂😂😂.

Yaan kutwa nimechoka kutafuta hela na stress zangu kibao alaf niende sehem kupunguza stress nikutane na muhudumu haelewek elewek ndio anahudumia. Si ndio stress zinazidi.

Weka barmaid wakali. Pisi za haja.
roho pia inaburudika.

NB : ni wa kuwaangalia tu. na sio chombo cha starehe.
 
Sio hao tuu hata kazi zingine,sehemu kubwa wanaombwa kabla au baada,hata kuolewa wanatoa kwanza sembuse,
Ukiona dereva,konda,nesi,dokta hasa za kuomba binafsi,ukinzi,migahawa,bar ,hotel,duka kubwa,usimamizi,jua sio wote ila wapo wanaopigwa kila jamaa likitaka
 
Back
Top Bottom