Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Duh!! kumbe michepuko imeanza tokea kitambo...adam noumaa
aisee nimecheka huku nna njaa dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!! kumbe michepuko imeanza tokea kitambo...adam noumaa
Aisee! Watu wengine tunashindwa kuapply our reasons! Sipingi uwepo wa hiko kitabu but napinga huo uongo waliousema humo!
...
Jee wewe unaamini yaliyoandikwa ndani ya kitabu hicho?[/QU
ujue mkuu kuna baadhi ya maneno ni vigumu kuyaelezea mfano maneno UKWELI na UONGO!! Asa ndo utaona ugumu wa kujua ukweli ni upi? Biblia au Koran au hivyo vitabu vya kiyahudi!? Kwenye hizi ishu hutajua ukweli hadi unakufa
aisee nimecheka huku nna njaa dah
stori ya lilith km mke wa kwnz wa adamu inaonekana kwenye
genesis 1:27....mungu akaamuumba mwanamme na mwanamke kwa mfano wake...
ukija genesis 2:21.. mungu akampa usingizi mzito adam kisha akamtoa ubavu wake wa kushoto ndo akamuumba eva.
hapa unaeza pata picha flani wakuu.
Mimi nilicheka usiku mzima wa Jana yani we truly think different.
zombies na vampires ni vitu viwili tofauti!! zombies ni "mizuka" yaani wafu waliofufuka wakati vampires ni wanyonya damu za binadamu wenzao.
kwa maana hiyo yesu naye ni zombie!!
Very interesting.....
Unapoziangalia stori za kidini kitaaluma (academically) zinakuwa myth..Pamoja sana mkuu!
Ivi hapo underline unamaanisha nini?
Hembu wengeza nyama nipate hoja zako hapo! = kwanini stori za dini ni myth wakati kunaushahidi wa kutosha?
(jibu swali, and then uliza swali!)
Every society has it's own story of creation..Mkuu namaanisha kuwa story za vitabu vyenu vimetokana na years of plagiarism from early civilizations. Kwa mfano story ya creation haiku originate kwa Abrahamic societies
Creation myth ili originate kwa Sumerian civilizations.Ukisoma sumerian text ya epic of Gilgamesh utakutana na hiyo hadithi.Na sio hiyo tu hadi story ya great flood inapatikana huko
Mkuu,huo ushahidi unaouongelea ni upi? Nipe mwanga