Kuna ukweli kuhusu ma-zombie??

 
stori ya lilith km mke wa kwnz wa adamu inaonekana kwenye
genesis 1:27....mungu akaamuumba mwanamme na mwanamke kwa mfano wake...
ukija genesis 2:21.. mungu akampa usingizi mzito adam kisha akamtoa ubavu wake wa kushoto ndo akamuumba eva.

hapa unaeza pata picha flani wakuu.
 

Huyo lilith alikuwa na nguvu za kudhuru watoto, pili baada ya kugombana na Adam aliruka na kwenda katikati ya bahari huko alipokutwa na malaika waliotumwa na Mungu kumrudisha, tatu aliolewa na mfalme mwenye all magical powers[Sijui nani] na kuna swali hapa. Nne yeye ndo Queen of all demons; Maswali ya msingi kujiuliza;
1. Je kama waliumbwa pamoja, mbona Adam hakuwa na nguvu yoyote?
2. Huyo lilith alipaa na kwenda katikati ya bahari. Tunavyojua huko ni makazi ya demons/majini. Je lilith alikuwa nae ni jini? Na kama ni jini mbona Adam hakuwa?
3. Kama Adam na lilith ndio wa kwanza, huyo mfalme/ mkuu wa nguvu za giza alitokea wapi na kumuoa lilith?
My conclussion.. Lilith alikuwa jini/demon na hakuwa binadamu wa kawaida na si mke wa kwanza wa Adam bali alitaka afanye mapenzi na Adam. Na according to the early scolars wanasema ndiye afanyaye mapenzi na wanaume katika ndoto na anapopata mimba huzaa majini.Mke wa kwanza wa Adam ni Eva.
Hivyo vitabu tajwa vyenye stori ya lilith ni vya mafundisho yakishetani vyenye nia ya kutaka kuonesha mwanadamu anauhusiano mkubwa na malaika walioasi mbinguni/mapepo na mkuu wao satan. Biblia inatuambia hao ni adui zetu Waefeso 6:12
 
hivi mazombie yalikuwepo kweli enzi za mababu zetu?
 
zombies na vampires ni vitu viwili tofauti!! zombies ni "mizuka" yaani wafu waliofufuka wakati vampires ni wanyonya damu za binadamu wenzao.


Kwa maana hiyo Yesu naye ni ZOMBIE!!
Very interesting.....
 
haya mambo sio yakufwatilia sana mwisho wa siku unaweza ona kuna ukweli nawe ukakosa standing
 
Mkuu hauna tabia ya kusoma magazeti nini? Nakuuliza hivyo kwa sababu hapa Tanzania kila ukisoma magazeti (si ya kiserikali) lazima utaonana na habari za watu kufufuka kimiujiza, misukule, haya ndiyo zombies!
 
Mazombie wapo mkuu. Asilimia kubwa wanapatikana Africa.
 
Zombie ni kiingereza lakini kiswahili ni misukule
 
Pamoja sana mkuu!

Ivi hapo underline unamaanisha nini?
Hembu wengeza nyama nipate hoja zako hapo! = kwanini stori za dini ni myth wakati kunaushahidi wa kutosha?
(jibu swali, and then uliza swali!)
Unapoziangalia stori za kidini kitaaluma (academically) zinakuwa myth..
Kiimani inakuwa vice-versa..
 
Every society has it's own story of creation..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…