Kuna ukweli kuhusu ma-zombie??

Wapo tena wengi tu! Hawa wa sasa wanakula Indirect...
 
Unapokula ama kunywa haramu yoyote wewe ni ZOMBIE @100%

Ukijitambua umekula/kunywa kwa PESA ama VUNO haramu...PENGINE pesa iliyokuwezesha kula ni PESA ya ama Wizi, Dhuluma, Ulaghai, Rushwa nk....ama CHAKULA au KINYWAJI unachopitisha Kinywani mwako umekipata kupitia njia CHAFU kama vile Kuiba, Kunyang'anya nk...Kwa asilimia 100 huna utofauti na ZOMBIE mnywa Damu na Nyama ya MWANA WA ADAM......

ZOMBIE ama VAMPIRE ni majina na maneno yanayotumika KINADHARIA na KIFALSAFA kuwaelezea WANYANG'ANYI na WANYONYAJI wote.....
 
Hakuna vitu kama hivyo duniani. Na ndo mana unaishia kuona kwenye movie tuu
 
daahh mkuu nieleweshe hapa...
mke wa kwanza wa adamu kabla ya eva[emoji15] ?
 
-mkuu kwa mimi ninavyoelewa lilith ni moja ya great female dermons sasa unaposema alikuwa ni mke wa kwanza wa adamu inakuwaje hebu ungefafanua kdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…