Kuna ukweli wowote hapa kuhusu malezi?

Kuna ukweli wowote hapa kuhusu malezi?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Screenshot_20240309-171001.jpg

Mdau kasema ukosefu wa Wanaume "Baba" kwenye malezi ya watoto wa kiume ndio kunapelekea vijana kuwa na mahusiano na wanawake wenye umri mkubwa.

4d4af2bfbe0e229860de0882a95f7b1f.jpg
Huyu ndio Mwanamke mwenye ujauzito wa Dogo

Nb. Dogo ana miaka 22 kampa ujauzito Mwanamke mwenye miaka 39.
 
Sio hilo tu kijana.
Kwakifupi kukosekana kwa uwepo wa BABA katika malezi ya watoto ndio chanzo cha matatizo yooooote yanayotokea ulimwengu huu.
Nilikaa nikamsikiliza the late Dr. Myles Monroe aliliidadavua hili suala kwa utan sana kwa research evidence
 
Huyu ndio Mwanamke mwenye ujauzito wa Dogo

Nb. Dogo ana miaka 22 kampa ujauzito Mwanamke mwenye miaka 39.
Kama mimba ilikubali kuingia maana yake kuna compatibility hilo siyo tatizo
 
Back
Top Bottom