Kuna ukweli wowote katika hili?

Kuna ukweli wowote katika hili?

hesalieyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
378
Reaction score
380
Screenshot_20220610-110249.png
 
Mbaya zaidi alowekewa vijembe kwenye status anatumia GB Whatsapp 🤣 so hawezi jua kama kaona au la
 
Hii ndio hali anayopitia X wangu mmoja hata miezi miwili haijaisha tangu tuachane. Sijawahi futa namba zake (natunzaga namba za ma-X kwa ajili ya kupasha viporo [emoji39]). Kuna msela naona mda wote anampost na kuandika status za vijembe wkt mbunye nimeshaichakata sana yeye akaleta maujinga tukaachana. Muhuni naishiaga kuziangalia tu status zake halafu nabaki "hiiiiiiii" (in Magufuli's voice)...

Sasa nina siku ya tatu nime-mute status zake nisizione whatsapp, asubuhi hii naona kanitext hapa... "Vipi Kactus mbona siku hizi hauangalii status zangu?". Sijamjibu nimeishia kucheka tu. Slay queen wana tabu sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo x wako kiboko🤣🤣 mpaka amekuuliza kwa Nini huangalii
 
Wewe ungekuwa unaziangalia tu hila ya yeye kujua Kama umesiangalia, unajua mtu kama ana lengo la kukuwejea status then usipoisoma anapata maumivu sana
 
Maisha mafupi sana, tukiachana ndio basi tena sifuatilii hata upost nini aisee utajua mwenyewe na roho yako

Nazingatia matunzo na kumwagilia mti mpya utoe matunda
 
Back
Top Bottom