Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mtazamo wako ukoje?mtazamo wake
Huyo x wako kiboko🤣🤣 mpaka amekuuliza kwa Nini huangaliiHii ndio hali anayopitia X wangu mmoja hata miezi miwili haijaisha tangu tuachane. Sijawahi futa namba zake (natunzaga namba za ma-X kwa ajili ya kupasha viporo [emoji39]). Kuna msela naona mda wote anampost na kuandika status za vijembe wkt mbunye nimeshaichakata sana yeye akaleta maujinga tukaachana. Muhuni naishiaga kuziangalia tu status zake halafu nabaki "hiiiiiiii" (in Magufuli's voice)...
Sasa nina siku ya tatu nime-mute status zake nisizione whatsapp, asubuhi hii naona kanitext hapa... "Vipi Kactus mbona siku hizi hauangalii status zangu?". Sijamjibu nimeishia kucheka tu. Slay queen wana tabu sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ungekuwa unaziangalia tu hila ya yeye kujua Kama umesiangalia, unajua mtu kama ana lengo la kukuwejea status then usipoisoma anapata maumivu sanaHii ndio hali anayopitia X wangu mmoja hata miezi miwili haijaisha tangu tuachane. Sijawahi futa namba zake (natunzaga namba za ma-X kwa ajili ya kupasha viporo [emoji39]). Kuna msela naona mda wote anampost na kuandika status za vijembe wkt mbunye nimeshaichakata sana yeye akaleta maujinga tukaachana. Muhuni naishiaga kuziangalia tu status zake halafu nabaki "hiiiiiiii" (in Magufuli's voice)...
Sasa nina siku ya tatu nime-mute status zake nisizione whatsapp, asubuhi hii naona kanitext hapa... "Vipi Kactus mbona siku hizi hauangalii status zangu?". Sijamjibu nimeishia kucheka tu. Slay queen wana tabu sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha mafupi sana, tukiachana ndio basi tena sifuatilii hata upost nini aisee utajua mwenyewe na roho yako
Nazingatia matunzo na kumwagilia mti mpya utoe matunda