Kuna ukweli wowote kuwa baadhi ya wanawake ukilala nao unapata mikosi?

Kuna ukweli wowote kuwa baadhi ya wanawake ukilala nao unapata mikosi?

KITENDO CHA KUZINI NA MWANAMKE AMBAYE SI MWANAMKE WAKO WA NDOA BASI TAYARI UMEVUNJA AMRI NA MIKOSI NA BALAA ZITAKUANDAMA.

LAKINI WAKATI MWINGINE NI IMANI KATIKA NAFSI ZA WATU HUSIKA, KUWA MIKOSI NA BALAA HUPATA UKIZINI NA MWANAMKE MJAMZITO AU MWANAMKE MWENYE MAJINI.
 
Habari za jioni!

Moja kwa moja kwenye topic.Inasemekana wengine wana mikosi wengine ukilala nao riziki za mwanaume zinafunguka.Eti na mwanamke akiwa mjamzito riziki za mwanaume zinakata hapati hata senti tano.

Toa mchango wako.
Sio swala la baadhi ya wanawake ila ngono kwa ujumla wake ni mbaya For both male and female

kwa upande wa madhara ya kimwili nafikiri kwa wanawake Ndio huathiriwa Sana na madhara ya ngono

Mfano magonjwa

Ni rahisi Sana Mwanamke kuambukizwa ukimwi kuliko MWANAUME kwasababu ya nature ya sehemu zake za siri ni laini sana kuliko MWANAUME B'se MWANAUME sehemu zake ni za nje hivyo ni Ngumu kuchubuka

Kwa upande wa KIROHO hi haina jinsia madhara YAKE ni MABAYA mikosi, nuksi, Roho za mauti, na kila kitu kibaya katika ulimwengu wa Roho huwa sehemu ya MAISHA ya mshirika yeyote wa ngono /uzinzi/ZINAA
 
Iv kuna ukwel kwamba kuna baadhi ya wanawake ukifanya nao mapenzi unapata laana na mikosi,pia kuna baadhi ya wanawake ukifanya nao mapenz unapata baraka na maisha unatoboa.

Naomba kuwasilisha!!! !
 
katika jamii ya kisasa,mafanikio ya kweli katika uhusiano yanatokana na heshima, mawasiliano, na usawa, siyo imani za kishirikina.
 
Kuamini mikosi ni uzwazwa.

Let's play dumb and assume mikosi Ipo, hiyo mikosi wanapata wanawake tu? Wanaume hawapati?

Kama ukilala nao unapata mikosi basi wapo wengine ukilala nao unapata Baraka. To every action there's an equal and opposite reaction. Unawajuaje?

Endelea kuchakata acha uzwazwa.
Kama chanzo Cha pesa zako ni pesa haramu huwezi kuelewa hili suala, ukiwa business man hii ishu inafahamika sana
 
Kama chanzo Cha pesa zako ni pesa haramu huwezi kuelewa hili suala, ukiwa business man hii ishu inafahamika sana

Mwenye pesa haramu hapati mikosi?

Mikosi wanapata wanaume tu?

Ukilala na mtu mwenye baraka unapata zaidi au it works ukilala na mwenye mikosi tu?
 
Mwenye pesa haramu hapati mikosi?

Mikosi wanapata wanaume tu?

Ukilala na mtu mwenye baraka unapata zaidi au it works ukilala na mwenye mikosi tu?
Ni both sides unaweza kupata baraka au mikosi
 
Back
Top Bottom