stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Katika kupitia historia ya mpira bongo kuna mtu alinisanua kuhusu timu inaitwa Pan African, kwa maelezo yake anasema ilishawahi kufika robo fainali CAF champions league, katika kupitia mtandaoni kwel naona kuna taarifa za CAF Champions league ila sio za robo fainali
en.wikipedia.org
kwa mwenye taarifa zaidi kuhusu hii timu na kufika robo atujuze, pia inaonekana ilikua vizuri imechukua ubingwa wa ligi mara kadhaa