Kuna ukweli wowote Pan African S.C ya Tanzania ishawahi kufika robo fainal CAF?

Kombe ulilofika final na kufungwa,yanga alilikosa kwa sheria ya goli la ugenini

Nilikuwepo 1993,nalijua kombe la washindi(winners cup) na nalijua caf cup kuwa ni jipya lilianza 1992,sihitaji ku-google,tulilishangaa simba kushiriki 1993,labda wewe u-google al ahly 3-1 african sports uone utaletewa nini
Kulikosa kwa Sheria ya ugenini kulitokana na kufungwa nyumbani msingefungwa nyumbani hayo yote yasingetokea, halafu linganisha yanga ya msimu ule iliyokuwa na kina mayele na simba ya sasa yenye kina mukwala kisha linganisha ubora wa usm alger ya msimu ule na rs berkane ya sasa, sasa kama ni hivyo kwanini ukitafuta mabingwa wa cafcc inakuambia bingwa wa 1993 alikuwa stella adjame na kwanini hadi ugoogle matokeo wakati inatakiwa ukigoogle tu bingwa wa cafcc huo mwaka ikutajie moja kwa moja

Screenshot_20250703_153510.jpg
 
Sasa unabisha nini fuatilia historia simba ilishacheza nusu fainali ya klabu bingwa mwaka 1974 na timu ya hearts of oak toka ghana, kama hiyo caf cup siyo cafcc mbona ukitafuta bingwa wa cafcc mwaka huo 1993 inakuambia alikuwa stella adjame ambaye ndiye alicheza na simba fainali, mashindano ya caf cup na winners cup yaliunganishwa ndio yakaitwa cafcc ila kihistoria yanayotambulika zaidi ni hayo ya caf cup
Hawajawahi. Lete ushahidi hapa!
 
walifika fainali ya Abiola cup
Yani ni sawa na kusema mara ya mwisho simba walichukua ubingwa wa vodacom premier league hivyo haitambuliki kwa sababu kwa sasa inaitwa nbc premier league
 
Ni uzushi tu.....!

Timu yenye Mafanikio Kimatafa Tanzania ni Moja tu SSC...!

Mpaka Muda huu tunavyoonge ni 4 Kwa Ubora Barani Afrika, Yanga Afrika Wanajua hilo
Simba wana makombe mangapi ya CAF? Au ni kupeana sifa za kijinga tu. Hapa Tanzania inazidiwa mbali tu na Yanga.. lkn utakuta watu kila kukicha kujisifia ubora. Ubora bila kombe una maana gani? Timu Bora msimu unaisha haina hata kombe la kahawa
 
Sasa unabisha nini fuatilia historia simba ilishacheza nusu fainali ya klabu bingwa mwaka 1974 na timu ya hearts of oak toka ghana, kama hiyo caf cup siyo cafcc mbona ukitafuta bingwa wa cafcc mwaka huo 1993 inakuambia alikuwa stella adjame ambaye ndiye alicheza na simba fainali, mashindano ya caf cup na winners cup yaliunganishwa ndio yakaitwa cafcc ila kihistoria yanayotambulika zaidi ni hayo ya caf cup
Kuweka rekodi sawa ni kwamba: Simba ilifika nusu fainali ya klabu bingwa barani Afrika mwaka 1974 na kutolewa kwa mikwaju ya penalti na Ghazil Mehallah ya Misri ila hiyo Hearts of Oak ya Ghana, Simba iliitoa kwenye robo fainali.

Ila mwaka 1993 Simba ilicheza fainali ya kombe la Caf (Abiola Cup) na kutolewa na Stella Abidjan ya Cote D'Ivoire (Ivory Coast).

Huo ndio ukweli lakini Simba haijawahi kucheza fainali ya klabu bingwa barani Afrika.
 
Kulikosa kwa Sheria ya ugenini kulitokana na kufungwa nyumbani msingefungwa nyumbani hayo yote yasingetokea, halafu linganisha yanga ya msimu ule iliyokuwa na kina mayele na simba ya sasa yenye kina mukwala kisha linganisha ubora wa usm alger ya msimu ule na rs berkane ya sasa, sasa kama ni hivyo kwanini ukitafuta mabingwa wa cafcc inakuambia bingwa wa 1993 alikuwa stella adjame na kwanini hadi ugoogle matokeo wakati inatakiwa ukigoogle tu bingwa wa cafcc huo mwaka ikutajie moja kwa moja

View attachment 3392705
Hao transfer market si kama hansrafael tu,unaweza andika chochote
Winners cup final 1993 bingwa al ahly
Caf cup lilianza 1992,halikuwepo 1991
 
Kuweka rekodi sawa ni kwamba: Simba ilifika nusu fainali ya klabu bingwa barani Afrika mwaka 1974 na kutolewa kwa mikwaju ya penalti na Ghazil Mehallah ya Misri ila hiyo Hearts of Oak ya Ghana, Simba iliitoa kwenye robo fainali.

Ila mwaka 1993 Simba ilicheza fainali ya kombe la Caf (Abiola Cup) na kutolewa na Stella Abidjan ya Cote D'Ivoire (Ivory Coast).

Huo ndio ukweli lakini Simba haijawahi kucheza fainali ya klabu bingwa barani Afrika.
Hapo kwa Abiola cup ni sawa na kusema mara ya mwisho simba walichukua ubingwa wa vodacom premier league, hivyo haitambuliki kwa sababu kwa sasa inaitwa nbc premier league, halafu soma vizuri simba mwaka 1993 ilicheza fainali ya shirikisho sijasema klabu bingwa
 
Hakukua na kombe la shirikisho 1993, shirikisho limeanza 2003
 
Sawa basi lete wewe hiyo source inayosema bingwa alikuwa al ahly, hapo wameorodhesha mabingwa kwa misimu kwahiyo hawajakosea, huo mwaka 92 msimu wake si ulianza mwaka 91

Ndio ni baada ya caf cup kuunganishwa na african cup winners cup ndio ikaitwa cafcc, ila mabingwa wanaotambulika kwenye historia ya cafcc ni hao wa caf cup, hata kabla haijaunganishwa na kupewa jina hili la sasa
 
Tatizo mashabiki wa simba walioanza kufuatilia mpira azam akirusha,wabishi mno
 
Attachments

  • Screenshot_2025-07-03-17-23-46-731.jpg
    Screenshot_2025-07-03-17-23-46-731.jpg
    250.5 KB · Views: 23
Tatizo mashabiki wa simba walioanza kufuatilia mpira azam akirusha,wabishi mno
Daah sasa hapo ndio umeleta nini mkuu mbona imeandika kabisa kwamba al ahly alikuwa bingwa wa african cup winners cup, mimi nimekuambia niletee ushahidi wa list ya kwamba bingwa wa cafcc ya sasa kwa mwaka huo alikuwa al ahly, maana mimi nimekuleta list inayoonesha kwamba bingwa alikuwa stella adjame umekataa basi lete wewe list yako
 
Bado una swali?.. acheni kujipa matumaini
 
Attachments

  • Screenshot_2025-07-03-18-03-21-402.jpg
    Screenshot_2025-07-03-18-03-21-402.jpg
    272.4 KB · Views: 20
  • IMG_20250703_180402.jpg
    IMG_20250703_180402.jpg
    218.5 KB · Views: 22
  • Screenshot_2025-07-03-17-56-55-145.jpg
    Screenshot_2025-07-03-17-56-55-145.jpg
    312.5 KB · Views: 24
Kuweka rekodi sawa ni kwamba: Simba ilifika nusu fainali ya klabu bingwa barani Afrika mwaka 1974 na kutolewa kwa mikwaju ya penalti na Ghazil Mehallah ya Misri ila hiyo Hearts of Oak ya Ghana, Simba iliitoa kwenye robo fainali.

Ila mwaka 1993 Simba ilicheza fainali ya kombe la Caf (Abiola Cup) na kutolewa na Stella Abidjan ya Cote D'Ivoire (Ivory Coast).

Huo ndio ukweli lakini Simba haijawahi kucheza fainali ya klabu bingwa barani Afrika.
Mkuu umenyoosha maelezo vizuri kabisa! Watu wanataka kujitoa akili.
 
Hapo kwa Abiola cup ni sawa na kusema mara ya mwisho simba walichukua ubingwa wa vodacom premier league, hivyo haitambuliki kwa sababu kwa sasa inaitwa nbc premier league, halafu soma vizuri simba mwaka 1993 ilicheza fainali ya shirikisho sijasema klabu bingwa
Lilikuwa kombe la Caf lililotolewa na tajiri wa Nigeria marehemu Mashood Abiola na wala halikuwa kombe la shirikisho. Kombe la shirikisho limeanzishwa mwaka 2004.
 
Fanya mtihani mfupi tu ufuatao;

Kombe la CAF super cup huchezwa baina ya bingwa wa klabu bingwa vs bingwa wa kombe la shirikisho.

Je unajua hao Stellen Abijan hakucheza super cup pamoja na kubeba kombe la CAF cup?
 
Sawa lakini shirikisho kwa maana ya cafcc ya sasa ilianzishwa kwa kuunganishwa african cup winners cup na caf cup ambalo ndio hilo mnaloliita la abiola, lakini ukitafuta list ya mabingwa wa hilo kombe la shirikisho la sasa kwa maana ya cafcc inakuletea list ya kuanzia msimu wa 91/92 ambapo ndio ilianzishwa hiyo caf cup ya abiola, ambapo itakuletea bingwa wa msimu wa 92/93 alikuwa ni stella adjame ambaye alicheza fainali na simba kwahiyo huwezi kuyabeza hayo mashindano ya caf cup maana yaliunganishwa kuunda hii cafcc ya sasa
 
Fanya mtihani mfupi tu ufuatao;

Kombe la CAF super cup huchezwa baina ya bingwa wa klabu bingwa vs bingwa wa kombe la shirikisho.

Je unajua hao Stellen Abijan hakucheza super cup pamoja na kubeba kombe la CAF cup?
Sawa lakini cafcc ya sasa ilianzishwa kwa kuunganishwa african cup winners cup pamoja na hiyo caf cup ya abiola, kwahiyo huwezi kuiongelea hii cafcc ya sasa bila kuitaja hiyo caf cup ya abiola, na ukitafuta list ya mabingwa wa cafcc ya sasa inakuambia bingwa wa huo mwaka husika alikuwa stella adjame
 
Back
Top Bottom