Sawa lakini shirikisho kwa maana ya cafcc ya sasa ilianzishwa kwa kuunganishwa african cup winners cup na caf cup ambalo ndio hilo mnaloliita la abiola, lakini ukitafuta list ya mabingwa wa hilo kombe la shirikisho la sasa kwa maana ya cafcc inakuletea list ya kuanzia msimu wa 91/92 ambapo ndio ilianzishwa hiyo caf cup ya abiola, ambapo itakuletea bingwa wa msimu wa 92/93 alikuwa ni stella adjame ambaye alicheza fainali na simba kwahiyo huwezi kuyabeza hayo mashindano ya caf cup maana yaliunganishwa kuunda hii cafcc ya sasa