Lazima yatakuja kukubishia mkuu ila huo ndio ukweli kimataifa timu yenye mafanikio zaidi kwa afrika mashariki na kati ni simba, na tusisahau ndio timu ya kwanza ukanda huu kufika nusu fainali ya cafcl mwaka 1974 maana uto msimu uliopita walidhani wangevuka ile robo basi wao ndio wangekuwa wa kwanza, kama ambavyo wanang'ang'ania kwamba wao ndio wa kwanza kuvaa medali za cafcc kwa ukanda huu wanajifanya wanapinga rekodi ya simba kuwa wa kwanza kuvaa medali za cafcc mwaka 1993Ni uzushi tu.....!
Timu yenye Mafanikio Kimatafa Tanzania ni Moja tu SSC...!
Mpaka Muda huu tunavyoonge ni 4 Kwa Ubora Barani Afrika, Yanga Afrika Wanajua hilo
mm ni mwana simba pia ila timu yetu ni ya kawaida sana japo kuna improvement, ila ipo timu kenya nadhan gor mahia washachukua shirikisho, sasa huezi sema timu yenye mafanikio alafu haina kombeLazima yatakuja kukubishia mkuu ila huo ndio ukweli kimataifa timu yenye mafanikio zaidi kwa afrika mashariki na kati ni simba, na tusisahau ndio timu ya kwanza ukanda huu kufika nusu fainali ya cafcl mwaka 1974 maana uto msimu uliopita walidhani wangevuka ile robo basi wao ndio wangekuwa wa kwanza, kama ambavyo wanang'ang'ania kwamba wao ndio wa kwanza kuvaa medali za cafcc kwa ukanda huu wanajifanya wanapinga rekodi ya simba kuwa wa kwanza kuvaa medali za cafcc mwaka 1993
Ndio kwa barani afrika kiujumla simba ni timu ya kawaida, ila kwa hapa tanzania simba ndio timu bora kuliko zote, nafahamu kwamba hiyo pan african ni timu nyingine kabisa mkuumm ni mwana simba pia ila timu yetu ni ya kawaida sana japo kuna improvement, ila ipo timu kenya nadhan gor mahia washachukua shirikisho, sasa huezi sema timu yenye mafanikio alafu haina kombe
lakini pia mm nmeuliza kitu tafauti hio timu Pan african sio Yanga ni timu ingine kabisa
Hajajibu swali ingekuwa ni mtihani ungepata sifuri na kufeli kwa sababu umejibu swali ambalo hukuulizwa.Ni uzushi tu.....!
Timu yenye Mafanikio Kimatafa Tanzania ni Moja tu SSC...!
Mpaka Muda huu tunavyoonge ni 4 Kwa Ubora Barani Afrika, Yanga Afrika Wanajua hilo
Acha uongo. Simba haijawahi kuingia nusu fainali ya Cafcl na mwaka 1993 Simba iliingia fainali ya Caf Cup na sio Cafcc.Lazima yatakuja kukubishia mkuu ila huo ndio ukweli kimataifa timu yenye mafanikio zaidi kwa afrika mashariki na kati ni simba, na tusisahau ndio timu ya kwanza ukanda huu kufika nusu fainali ya cafcl mwaka 1974 maana uto msimu uliopita walidhani wangevuka ile robo basi wao ndio wangekuwa wa kwanza, kama ambavyo wanang'ang'ania kwamba wao ndio wa kwanza kuvaa medali za cafcc kwa ukanda huu wanajifanya wanapinga rekodi ya simba kuwa wa kwanza kuvaa medali za cafcc mwaka 1993
Hongereni sana kwa kuingia nafasi ya 4 kwenye CAF ranking. Kwa mafanikio haya, Mangungu aendelee kuwa Mwenyekiti wa maisha. Kazi yake imeonekana.Ni uzushi tu.....!
Timu yenye Mafanikio Kimatafa Tanzania ni Moja tu SSC...!
Mpaka Muda huu tunavyoonge ni 4 Kwa Ubora Barani Afrika, Yanga Afrika Wanajua hilo
Sasa unabisha nini fuatilia historia simba ilishacheza nusu fainali ya klabu bingwa mwaka 1974 na timu ya hearts of oak toka ghana, kama hiyo caf cup siyo cafcc mbona ukitafuta bingwa wa cafcc mwaka huo 1993 inakuambia alikuwa stella adjame ambaye ndiye alicheza na simba fainali, mashindano ya caf cup na winners cup yaliunganishwa ndio yakaitwa cafcc ila kihistoria yanayotambulika zaidi ni hayo ya caf cupAcha uongo. Simba haijawahi kuingia nusu fainali ya Cafcl na mwaka 1993 Simba iliingia fainali ya Caf Cup na sio Cafcc.
😂😂😂😂Ni uzushi tu.....!
Timu yenye Mafanikio Kimatafa Tanzania ni Moja tu SSC...!
Mpaka Muda huu tunavyoonge ni 4 Kwa Ubora Barani Afrika, Yanga Afrika Wanajua hilo
The same Manara.😂😂😂😂
Kweli hakukosea Rage
Gor mahia wakichukua ubingwa 1988, mazembe wamebeba mara tano,wakacheza final club bingwa dunia na inter milanLazima yatakuja kukubishia mkuu ila huo ndio ukweli kimataifa timu yenye mafanikio zaidi kwa afrika mashariki na kati ni simba, na tusisahau ndio timu ya kwanza ukanda huu kufika nusu fainali ya cafcl mwaka 1974 maana uto msimu uliopita walidhani wangevuka ile robo basi wao ndio wangekuwa wa kwanza, kama ambavyo wanang'ang'ania kwamba wao ndio wa kwanza kuvaa medali za cafcc kwa ukanda huu wanajifanya wanapinga rekodi ya simba kuwa wa kwanza kuvaa medali za cafcc mwaka 1993
Bingwa wa shirikisho/washindi 1993 alikua al ahly,simba alicheza final ya caf cup dhidi ya stelaSasa unabisha nini fuatilia historia simba ilishacheza nusu fainali ya klabu bingwa mwaka 1974 na timu ya hearts of oak toka ghana, kama hiyo caf cup siyo cafcc mbona ukitafuta bingwa wa cafcc mwaka huo 1993 inakuambia alikuwa stella adjame ambaye ndiye alicheza na simba fainali, mashindano ya caf cup na winners cup yaliunganishwa ndio yakaitwa cafcc ila kihistoria yanayotambulika zaidi ni hayo ya caf cup
Simba ya tanoNi uzushi tu.....!
Timu yenye Mafanikio Kimatafa Tanzania ni Moja tu SSC...!
Mpaka Muda huu tunavyoonge ni 4 Kwa Ubora Barani Afrika, Yanga Afrika Wanajua hilo
Hizo rekodi zao zote mbona zinafahamika mimi nimezungumzia kwa sasa mkuu, hao tp mazembe na gor mahia kwa sasa kwenye caf ranking wako wapi, halafu tunapotaja ubora wa simba mara nyingi huwa tunalinganisha na yanga maana wanajisahau sanaGor mahia wakichukua ubingwa 1988, mazembe wamebeba mara tano,wakacheza final club bingwa dunia na inter milan
Sawa nenda kagoogle sasa hivi mabingwa wa shirikisho kwa maana ya cafcc halafu uone itakuletea bingwa wa huo mwaka alikuwa naniBingwa wa shirikisho/washindi 1993 alikua al ahly,simba alicheza final ya caf cup dhidi ya stela
Kombe ulilofika final na kufungwa,yanga alilikosa kwa sheria ya goli la ugeniniHizo rekodi zao zote mbona zinafahamika mimi nimezungumzia kwa sasa mkuu, hao tp mazembe na gor mahia kwa sasa kwenye caf ranking wako wapi, halafu tunapotaja ubora wa simba mara nyingi huwa tunalinganisha na yanga maana wanajisahau sana
Nilikuwepo 1993,nalijua kombe la washindi(winners cup) na nalijua caf cup kuwa ni jipya lilianza 1992,sihitaji ku-google,tulilishangaa simba kushiriki 1993,labda wewe u-google al ahly 3-1 african sports uone utaletewa niniSawa nenda kagoogle sasa hivi mabingwa wa shirikisho kwa maana ya cafcc halafu uone itakuletea bingwa wa huo mwaka alikuwa nani
Usikomaze fuvu, msome Vizuri kasemaaa mwaka 74 SSC ilitinga nusu fainali CAFCLAcha uongo. Simba haijawahi kuingia nusu fainali ya Cafcl na mwaka 1993 Simba iliingia fainali ya Caf Cup na sio Cafcc.