Kuna ukweli wowote Pan African S.C ya Tanzania ishawahi kufika robo fainal CAF?

Pungunguzeni u mbumbumbu, katika mpira wa miguu mafanikio ni kutwaa kikombe na si kufikia hatua yoyote ya mashindano.
Tanzania hakuna timu yoyote yenye mafanikio katika michuano ya CAF.
 
Sawa lakini pointi ni kwamba Simba hawajawahi kucheza fainali ya klabu bingwa barani Afrika. That's all.
 
Sawa lakini pointi ni kwamba Simba hawajawahi kucheza fainali ya klabu bingwa barani Afrika. That's all.
Hivi wewe unaelewa hata tunachojadili hapa au umekurupuka tu, unanipa mashaka na huo uwezo wako wa kufikiri na kuelewa mambo, hebu nioneshe ni wapi niliposema simba iliwahi kucheza fainali ya klabu bingwa barani afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…