Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Habari wakuu wenzangu..
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Mi binafsi sioni faida wala ufahari kisa nimependwa na mdada kutoka kwenye mtandao huu.
Ishu ni kwamba hawa viumbe waliomo humu ni wale wale ambao tunakutana nao mitaani, kwenye ndege, boats, mabasi na hata kwenye mabaa.
Iweje uhangaike na kivuli humu, mi nna imani tayari nilishamla mrembo humu ila sijui I'd yake humu maana sikutaka kujua hilo, lengo sio kujua anatumia I'd gani lengo ni sebene tu basi.
Nasema hivi kwa kuwa nilichungulia sim yake nikakuta app ya jf na mimi nikasema sijitambulishi kwamba ni mmoja wapo kwenye mtandao.
Mara nyingi unakuta wanajisifu humu utafikiri hawaendi msalani kumbe ni tofauti kabisa, wa ovyo sana baadhi yao mikucha utafikiri shumileta.
Leo niishie hapo maana naweza kufukua makuburi nikapibwa ban.
Povu linaruhusiwa.