Kuna ulazima gani kupendwa na mdada wa JF?

Kuna ulazima gani kupendwa na mdada wa JF?

humu ndani watoto wapo bhanaa....tena wakali...
mi kuna mmoja nilipanda nae kwnye daladala...sasa ile zungusha macho nkakuta yupo ndani ya jf...ile bumbap gafla nkaona jina lake....aaaahh ni kisuuu yan....na humu anachangia mada kinoma....mtoto mzur sana aisee.....

We nanilii mi nakufaham kabisa aisee...hongera kwa udhurii[emoji16]
 
My reaction!!
30591542_2035173076747180_2912599052073828352_n.jpg
nyuzi nyingine bana nimemla nimemla si mmekulana tu.
 
Back
Top Bottom