Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Huyo niwa Dar.... tehteehhhPambana na shumileta wako
hivi hizi tabia za kulalamika huwa ni za kike sasa humu kila siku nyie ndo mnalialia
Tutawaazima magagulo tu mfyuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo niwa Dar.... tehteehhhPambana na shumileta wako
hivi hizi tabia za kulalamika huwa ni za kike sasa humu kila siku nyie ndo mnalialia
Tutawaazima magagulo tu mfyuuuuu
Sio dhambi kabisa haki, ndomana nimeona nikuwahi....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Hahaahah nyuzi za hivi zimezidi utadhan dhambi kuwa mdada JF
Vipi na wewe una mikucha nini??
Mi Jf sihami wallah...[emoji12] [emoji12] [emoji12]Acha kuanika ujinga wako pambana na mtu wako huo sio uanaume mxiiiie
Hahahaha
Umempa la uso walahi uwiii!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hahaha watu aina hii wamezidi kutusakama
Uje umefumba mdomoAmen...
Sasa, PM yangu umeiona...[emoji39] [emoji39]
KabisaHuyo niwa Dar.... tehteehhh
Usihame mkuu patamu humuMi Jf sihami wallah...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ewwaaaaa.....Usihame mkuu patamu humu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Habari wakuu wenzangu..
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Mi binafsi sioni faida wala ufahari kisa nimependwa na mdada kutoka kwenye mtandao huu.
Ishu ni kwamba hawa viumbe waliomo humu ni wale wale ambao tunakutana nao mitaani, kwenye ndege, boats, mabasi na hata kwenye mabaa.
Iweje uhangaike na kivuli humu, mi nna imani tayari nilishamla mrembo humu ila sijui I'd yake humu maana sikutaka kujua hilo, lengo sio kujua anatumia I'd gani lengo ni sebene tu basi.
Nasema hivi kwa kuwa nilichungulia sim yake nikakuta app ya jf na mimi nikasema sijitambulishi kwamba ni mmoja wapo kwenye mtandao.
Mara nyingi unakuta wanajisifu humu utafikiri hawaendi msalani kumbe ni tofauti kabisa, wa ovyo sana baadhi yao mikucha utafikiri shumileta.
Leo niishie hapo maana naweza kufukua makuburi nikapibwa ban.
Povu linaruhusiwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaa. Nimecheka sana.
Pia niseme kuna ambao wamekufa na kuozeana humu na hawawezi kukuelewa hata kidogo.
HahahahahEwwaaaaa.....
Ebu ngoja nikutumie PM, maana nimeona rangi ya upendo... tehteehhh
Hahaaaaa. Najua na wewe Shemeji umo. [emoji85] [emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaa. Nimecheka sana.
Pia niseme kuna ambao wamekufa na kuozeana humu na hawawezi kukuelewa hata kidogo. Mi mwenyewe dada ww nakuelewa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]My reaction!!View attachment 749793nyuzi nyingine bana nimemla nimemla si mmekulana tu.
Hahaaa. Ndio hapo sasa rafiki.Hahaahah nyuzi za hivi zimezidi utadhan dhambi kuwa mdada JF
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Hahaaaaa. Najua na wewe Shemeji umo. [emoji85] [emoji85]
Comrade uache kushinda ukweni, utanyimwa mke [emoji12] [emoji12] [emoji12]Aiseeeee....
Wengine humu Jf ndio ukweni haki