Kuna ulazima gani kupendwa na mdada wa JF?

Nimekumbuka kuna member alianzisha mada humu eti wanawake wa jf ni wa kawaida sana, Miss Natafuta alinichekesha eti "ndio ni wa kawaida,au ulidhani wana mapembe?"

Sijui huwa wanatuchukuliaje hawa viumbe aisee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…