Kuna ulazima gani kupendwa na mdada wa JF?

Kuna ulazima gani kupendwa na mdada wa JF?

Hahahaaaa. Nimecheka hiyo eti ana mikucha.

Tatizo ni ile hali ya baadhi ya Member wa Kiume kujengeka kichwani mwao kwamba wanawake wa jf ni wanawake ambao tuko dunia nyingine kabisa kumbe sio.

Nadhani siku ikija kuondoka vichwani mwao wala haya hayatakuwepo.
Nimekumbuka kuna member alianzisha mada humu eti wanawake wa jf ni wa kawaida sana, Miss Natafuta alinichekesha eti "ndio ni wa kawaida,au ulidhani wana mapembe?"

Sijui huwa wanatuchukuliaje hawa viumbe aisee!!!
 
Back
Top Bottom