Nini tena Mshenga?tehe
WatutueHahahaaaa. Nimecheka hiyo eti ana mikucha.
Tatizo ni ile hali ya baadhi ya Member wa Kiume kujengeka kichwani mwao kwamba wanawake wa jf ni wanawake ambao tuko dunia nyingine kabisa kumbe sio.
Nadhani siku ikija kuondoka vichwani mwao wala haya hayatakuwepo.
AsanteVitu vingine ni kumezea kama Mwanaume
Hahahaaaa. Ila rafiki nimecheka sana lol.My reaction!!View attachment 749793nyuzi nyingine bana nimemla nimemla si mmekulana tu.
Ubarikiwe sanaMy reaction!!View attachment 749793nyuzi nyingine bana nimemla nimemla si mmekulana tu.
Hahaha povu nimeliruhusu.Mjinga mwingine huyu,
ukivua gumegume pambana nalo ndo nyota yako hiyo
wapo wenye nyota ya vipusa wanaishukuru jf kwa kuwapa vitu vya ukweee
Pambana na shumileta wakoHahaha povu nimeliruhusu.
Hahaaa. LolWatutue
Hahahaaaa. Ila rafiki nimecheka sana lol.
Vipi na wewe una mikucha nini??Pambana na shumileta wako
hivi hizi tabia za kulalamika huwa ni za kike sasa humu kila siku nyie ndo mnalialia
Tutawaazima magagulo tu mfyuuuuu
Acha kuanika ujinga wako pambana na mtu wako huo sio uanaume mxiiiieVipi na wewe una mikucha nini??
HahahahaMy reaction!!View attachment 749793nyuzi nyingine bana nimemla nimemla si mmekulana tu.
Hahahaha
Umempa la uso walahi uwiii!
ha ha ha imenibidi nicheke sana wangu dahVitu vingine ni kumezea kama Mwanaume
Kwa kweli na ni lazima Ana matatizo makubwa sana ya akili na maumbile na mfukoni pia walahi!Hahaha watu aina hii wamezidi kutusakama
Mkuu, kama huyo ndio wewe.... Ebu fanya ukuje huku PM.... tehteehhhMy reaction!!View attachment 749793nyuzi nyingine bana nimemla nimemla si mmekulana tu.
Amen...Ubarikiwe sana