Kuna ulazima gani kupendwa na mdada wa JF?

Naapa kwa dini yangu kwamba kuanzia leo nitakosa kufatwa pm maana leo wamechukia sana..
Ila kwa kua hawa viumbe akili zao ni kama kuku, watakuja tu.
Hahaha, wadada natania tu msinifikirie vibaya ni mambo ya kawaida tu.
Cc: Jeiefu
 
Me nimependwa na shunie... [emoji87] [emoji17] [emoji85]
 
umesema ukweli mkuu ,
Shout out to youuuuuuu.

wala hamna Upekee wowote ,walioko humu ndo wale walioko mtaani isipokua kitu kidogo "Wepesi na maisha halisi".

And saaaana ni mwanamke kuongeza idadi ya washikaj zake ,, Huku mwanamme naye akiongeza idadi ya wanawake wake .

Kwa mwanaume Nisifa kwake ""Kula mademu wa humu wengi ,hii nisababu JF ni jamii ndogo inayojulikana ,yaan nisawa nikula mademu wengii mlogroup moja wasap"" kwaiyo hapa mwanamme ajisifii idadi ya alowagonga, bali kichwan anajisifu uwezo wake wa kugonga mademu wengiii wanaojuana na wanaoitana dada !!.

Zaidi niniseme , One of Social media ambayo its a pool of HIV , namahali pekee ambayo kwa Tanzania nisehemu ya Ngono zembe (Hapa both me and ke ) wanastruggle kuongeza idadi ya walotiana +mahali pekee ambako sex ni rahisi ,nikitu cha kawaida ni JamiiForums .

Nirahisi sababu moja tu *Hunijui Sikujui* ... demu anagongwa ,akiachana anabadili ID, anapata mwingine naye anamgonga so maisha ya humu ni mduara !! ......... Watu hawaogopani and Sex ni rahisi km ilivokua kwa wanawake wa Pwan,Lindi,mtwara na Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…