Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Natafakari hapa kazi ya siku moja inamezwa vipi na semina ya wiki tatu sipati majibu.
Kazi ya ukarani ambayo sifa ni kidato cha 4 na kujua kutumia smartphone tu. Programs zote zipo kwenye hizo simu /tablets, kwanini isiwe siku moja ya kuelekezana masomo ya utaifa na uadilifu na siku ya pili kuelekezana masomo ya kazi ambayo mtu anakwenda kufanya?
IT wameajiriwa watu wa IT, kuna ulazima gani kufundishana wiki tatu kitu ambacho mtu anakijua?
Mwonyeshe kazi, kisha mpe maelekezo kidogo anafanya.
Mamilioni au mabilioni yatatumika bila sababu.
Kazi za usimamizi wameajiriwa watu ambao wana uzoefu na mambo ya usimamizi.
Wiki tatu zote za nini?
Siongei haya kwakuwa nimekosa nafasi hizo, hapana, sijaomba na sizitamani kabisa.
Hebu tuwe serious