GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 4,291
- 5,786
Nakubaliana na wewe 100%. Hii kazi ingefanywa na wajumbe wa nyumba kumi na kuwasilisha taarifa kwenye Kata ingekuwa sahihi na haraka maradufu.Sensa ya mchongo
Nina graduate wa IT mwaka wa pili sasa anafanya mambo yake, sikuwahi kusikia akihitajika kwenye uchaguzi mkuu wala sensa hii ya makazi inayonadiwa kuwa ya kidigitali zaidi..... Nchi ngumu hii kweli.