Mchezo huu ni wa Kikoba...
Unaweza taka kujiunga...ila yawezekana ulishaungwa tayari [emoji23]
Mchezo huu unavikoba vingi...
Kikoba hiki kimekuwa na watu wengi sana na kinafahakika kuongoza kila mara.
Watu wengi wa kiume na kike wapo kwenye kikoba hiki...
Si kwakuwa kinapesa nyingi ndio maana, Wala ila watu wanakipenda tuu..[emoji23]
Siku moja ktk kikoba hiki bana kama mjuavyo wanawake bana mmoja wao aliwashamoto...
Ikimbukwe kikoba hiki na wanaume wapo ila sio sana kwa kile kinachosemekana vikoba ni vya wanawake tyuu [emoji23]
Huwezi amini moto huu haukuzima uliendelea kua mkali na aliyewasha moto kabla ya kuwasha alimpa chakula mtu mwingine ale, yule aliyepewa chakula akapata vita kubwa ila alipona vita...
Kikoba hichi ambacho kinashika nafasi mara kwa mara kulikuja kutokea kikoba kingine ghafla Yani ghafla...
Kikoba hicho hata kilipotokea hakikujulikana bali kilizuka tu na baadae kikakiondoa kwa kukifukuza kile kikoba kingine...
Walisikika wacheza vikoba wakidai deni kwa malalamiko makali [emoji23][emoji23]