NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Mwanaadamu ni munyama na siri ipo panapo kifo.Unakufaje ndo somo zima lilipo.Hayo matukio ukiyajua kama ni mabaya yanaumiza...
Ukikaa kimya yakitokea yanaumiza zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaadamu ni munyama na siri ipo panapo kifo.Unakufaje ndo somo zima lilipo.Hayo matukio ukiyajua kama ni mabaya yanaumiza...
Ukikaa kimya yakitokea yanaumiza zaidi
Pole sana! Mungu akupe uponyaji wa haraka, uzidi kutupa madini...Wakuu nitarejea kuendelea, jana jioni nilipata ajali na mkono wa kulia ndio umeumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nitarejea kuendelea, jana jioni nilipata ajali na mkono wa kulia ndio umeumiaOngezea nyama mkuu umetuacha NANJA .... nisawa na kujichukulia sheria mkononi(nyeto) halafu wazungu hawajaja
Pole Jr mwenzangu basi ukirudi ntag kama vp
Mkono wa kulia ukikaa poa nitaendelea maana ndio umeumia zaidi ila kichwa, kuino na miguu vipo sawaPole Jr mwenzangu basi ukirudi ntag kama vp
Mkono wa kulia ukikaa poa nitaendelea maana ndio umeumia zaidi ila kichwa, kuino na miguu vipo sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana vipi hukuweza walika malaika wako wakulunde na wew ndo mzee wa kilinge (just joke )Wakuu nitarejea kuendelea, jana jioni nilipata ajali na mkono wa kulia ndio umeumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliwabipu wamekupigiaSi wa kiroho bali uko katikati ya kiroho na kimwili na pengine huo ndio unapokea cords toka kwenye ulimwengu wa roho na kuzibadili na kuzitafsiri kwenye ulimwengu wa kimwili.
Niliwahi kuripoti kituo cha polisi wiki nzima lakini hiki kituo hakikuwa halisi... Yaani kila fahamu zikinijia nilijikuta tayari nimetoka kuripoti ila sikujua kwa mashtaka gani.
Nitaendelea
Wakuu nitarejea kuendelea, jana jioni nilipata ajali na mkono wa kulia ndio umeumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkono uvimbe unapungua sasaPole sana mkuu, bila shaka unaendelea vyema!