Kuna ulimwengu usioonekana?

Kuna ulimwengu usioonekana?

kabla mwanadamu hajapata kitu kwenye ulimwengu wake lazima kwanza akipate kwenye ulimwengu wa ROHO.
kabla kitu hakija vaa mwili huwa kama Nguvu msimamo, sasa kwa kuwa vituviko vingi ile nguvu lazima iwe mfumo wa codes au kwa namna fulani ili ijulikana hii ni Gari,nyumba,mke, mtoto au kifo,
Kabla hakija mfikia mwanadam husika hupitia malangoni pa mwanadam huyo ili kiweze kuuvaa mwili na kuwa kitu cha ulimwengu wa mwanadamu 3D.
niishie hapo nimsubur mshana
Nilimuomba Mungu akanipa uwezo huu wa kuona ktk Ulimwengu wa Roho na Sasa ninaona...

Ni Raha sana ila inabidi uombe hekima
 
Upo vizuri.
 
Nilimuomba Mungu akanipa uwezo huu wa kuona ktk Ulimwengu wa Roho na Sasa ninaona...

Ni Raha sana ila inabidi uombe hekima

Tupe angalau picha kidogo ya huo ulimwengu wa pili!! Nifanyeje na mie niuone, unaona viumbe gani? Malaika? Wafu/mizimu?? Au ni nini hasa??
 
Tupe angalau picha kidogo ya huo ulimwengu wa pili!! Nifanyeje na mie niuone, unaona viumbe gani? Malaika? Wafu/mizimu?? Au ni nini hasa??
Ulimwengu wa Roho ni mpana...

Na kila mtu ana kiwango chake cha kuona kulingana na Mungu alivyomjalia...

Wengine ni waota ndoto, wengine wanamaono...

Huko kuna watu kama wewe, kuna wachawi, wanyama, mizimu, wapo

Nikianza na vita, kila mtu anavita vyake ambavyo anapigana navyo uwe unaona huoni ila unavyo...

Kuna neno linasema kupigana kwetu sio kwa damu na nyama bali ni kwa Roho...

Huko kwenye Ulimwengu wa Roho, kuna vita ya wewe na wakuu wa giza, hapa na wewe unaona majeshi ni kama watu wakati mwingine uweza ona wanyama ila unapigana nao kama una nguvu za Rohoni unawapiga na unashinda kama huna nguvu unashindwa...

Kuna kushinda na ukishinda kule na huku Ulimwengu wa mwili umeshinda...

Kuna mambo yajayo...

Hapa kama kuna jambo linataka kutokea Liwe zuri au baya kwako, familia, jirani, nchi unaona...

Kwasasa mimi ninaona mpaka yatayotekea nchini...

Kusema nogopa...
 
Back
Top Bottom