Kuna ulimwengu usioonekana?

Kuna ulimwengu usioonekana?

Ulimwengu wa Roho ni mpana...

Na kila mtu ana kiwango chake cha kuona kulingana na Mungu alivyomjalia...

Wengine ni waota ndoto, wengine wanamaono...

Huko kuna watu kama wewe, kuna wachawi, wanyama, mizimu, wapo

Nikianza na vita, kila mtu anavita vyake ambavyo anapigana navyo uwe unaona huoni ila unavyo...

Kuna neno linasema kupigana kwetu sio kwa damu na nyama bali ni kwa Roho...

Huko kwenye Ulimwengu wa Roho, kuna vita ya wewe na wakuu wa giza, hapa na wewe unaona majeshi ni kama watu wakati mwingine uweza ona wanyama ila unapigana nao kama una nguvu za Rohoni unawapiga na unashinda kama huna nguvu unashindwa...

Kuna kushinda na ukishinda kule na huku Ulimwengu wa mwili umeshinda...

Kuna mambo yajayo...

Hapa kama kuna jambo linataka kutokea Liwe zuri au baya kwako, familia, jirani, nchi unaona...

Kwasasa mimi ninaona mpaka yatayotekea nchini...

Kusema nogopa...

Akikujibu nitag
Amejibu bro
 
Si wa kiroho bali uko katikati ya kiroho na kimwili na pengine huo ndio unapokea cords toka kwenye ulimwengu wa roho na kuzibadili na kuzitafsiri kwenye ulimwengu wa kimwili.

Niliwahi kuripoti kituo cha polisi wiki nzima lakini hiki kituo hakikuwa halisi... Yaani kila fahamu zikinijia nilijikuta tayari nimetoka kuripoti ila sikujua kwa mashtaka gani.

Nitaendelea
Mkuu unanipa wasiwasi
 
Bro umerudisha kilinge, halafu nipe location nataka kuja hapo msata kilingeni kuna mpuuzi nataka kumkaanga
 
Tunaishi ulimwengu huu. Baada ya hapa ipo astral world. Halafu Brahma world. Hapa ndipo wanapokwenda watu baada ya kufa hapa duniani. Baada ya hapo ipo Patra world,ambapo ndio wapo watu more evolved,ambapo yupo Aristotle,Socrates.Leonardo da Vinci,Winston Churchill,na watu wengine kama hao. Halafu bado,it goes on. Zipo dimensions nyingine
Asee acha kutupanga
 
Ulimwengu wa Roho ni mpana...

Na kila mtu ana kiwango chake cha kuona kulingana na Mungu alivyomjalia...

Wengine ni waota ndoto, wengine wanamaono...

Huko kuna watu kama wewe, kuna wachawi, wanyama, mizimu, wapo

Nikianza na vita, kila mtu anavita vyake ambavyo anapigana navyo uwe unaona huoni ila unavyo...

Kuna neno linasema kupigana kwetu sio kwa damu na nyama bali ni kwa Roho...

Huko kwenye Ulimwengu wa Roho, kuna vita ya wewe na wakuu wa giza, hapa na wewe unaona majeshi ni kama watu wakati mwingine uweza ona wanyama ila unapigana nao kama una nguvu za Rohoni unawapiga na unashinda kama huna nguvu unashindwa...

Kuna kushinda na ukishinda kule na huku Ulimwengu wa mwili umeshinda...

Kuna mambo yajayo...

Hapa kama kuna jambo linataka kutokea Liwe zuri au baya kwako, familia, jirani, nchi unaona...

Kwasasa mimi ninaona mpaka yatayotekea nchini...

Kusema nogopa...
Je ulishawahi onyeshwa kutokea ugaidi kwenye mkoa wowote hapa Tanzania ?

Kwanini unaogopa kusema?
 
Si wa kiroho bali uko katikati ya kiroho na kimwili na pengine huo ndio unapokea cords toka kwenye ulimwengu wa roho na kuzibadili na kuzitafsiri kwenye ulimwengu wa kimwili.

Niliwahi kuripoti kituo cha polisi wiki nzima lakini hiki kituo hakikuwa halisi... Yaani kila fahamu zikinijia nilijikuta tayari nimetoka kuripoti ila sikujua kwa mashtaka gani.

Nitaendelea
Kilichonistua katika mada hii ni kwamba mtoa mada niliyekuwa namtarajia awe anatujibu swali lililoulizwa ndiye anayeuliza swali lenyewe!!
 
Si wa kiroho bali uko katikati ya kiroho na kimwili na pengine huo ndio unapokea cords toka kwenye ulimwengu wa roho na kuzibadili na kuzitafsiri kwenye ulimwengu wa kimwili.

Niliwahi kuripoti kituo cha polisi wiki nzima lakini hiki kituo hakikuwa halisi... Yaani kila fahamu zikinijia nilijikuta tayari nimetoka kuripoti ila sikujua kwa mashtaka gani.

Nitaendelea
Ongezea nyama mkuu umetuacha NANJA .... nisawa na kujichukulia sheria mkononi(nyeto) halafu wazungu hawajaja
 
Tumia coded language kama malkia wa sheba ataitwa na mawingu ndio atakaposimama mweusi kutokea kando ya maji ya ziwa nyanza!!!

Yaani coded language yaani jifunze kama vipi!!!

Back
Top Bottom